comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
🤣🤣🤣AiseeItakuwa mafao
Wasiliana na uongozi wa CRDB kwenye tawi lolote la karibu ili kupata maelezo sahihi.Sijui ni ushamba au Mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya crdb takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuepo mwanzo.
Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi mda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.
sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
Jibu hili hapa nenda bank au wapigie Simu Ila kwa urahisi zaidi nenda bankkuna interest umelipwa na 10% imekatwa kodi
ni interest ya nini ,hilo fuatilia bank
labda uliweka hela kwenye account ya muda maalum
Hii inaweza kukuletea shida.Ni pale tu Hlhela ikipungua kwenye akaunti pasipo mimi kuitoa ndio huwa nashtuka...
Ila mpunga ukiingia na nisijue ulipotoka, nitaupukutisha wote...
Ndio baada hiyo hela kuingia wakakata 10%kuna interest umelipwa na 10% imekatwa kodi
ni interest ya nini ,hilo fuatilia bank
labda uliweka hela kwenye account ya muda maalum
😀😀 Nimepanga 400 kienyeji ujueingekuwa mimi watanikuta bar kwa maelezo zaidi... tena watanikuta nipo na pisi kali wakiniona tu wanajua huyu kenge kesha zitafuna zote hana hata mia!
Mafao gani namimi sio muajiriwa wa sehemu yoyote akaunti yangu naweka hela mwenyeweItakuwa mafao
Hahahaha sijaelewa ujue tena imenikuta wakat Nina shida na kama 500k hivNi pale tu Hlhela ikipungua kwenye akaunti pasipo mimi kuitoa ndio huwa nashtuka...
Ila mpunga ukiingia na nisijue ulipotoka, nitaupukutisha wote...
SawaNi posa hiyo watu wamekutolea