Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

kuna siku nimeingiziwa laki 7 nikaskilizia siku tatu labda nitapokea simu yoyote naona hola wiki hola nikatoa laki nikashenyenta simu hola nikatoa laki nikala baada ya mwezi napigiwa simu ile hela ilitumwa kimakosa na ilikua ni ada ya chuo ya dogo mmoja hivi.
Bahati nzuri nilitafuna laki mbili tu wakapiga pin 500k then ilipoingia salary wakapiga pin 200k
 
Watu mnachezea sana bahati yaani unapata na Mda wa kuisikilizia yaani Kwa ujinga wanaoufanya ccm bado unasikilizia laki 7 aisee we kweli boya umenitia hasira mbwa wewe
 
Safiri nenda mikoani wasije wakakuona, kaa huko miezi sita kisha urudi.
 
Asa unashangaa shangaa nini,. We jilie tu maisha yenyewe ndio hayahaya
 
Mkuu kama ulikuwa na shida,mungu amekuonaa maliza matatizo yako....mungu kajibu maombii yako
 
Hii aliwalipa,hakukosea kuingiza huko.

Ilitajwa kama ni zawadi tu ile mkuu (sadaka), ndio maana hata wenye mamlaka hawakuwa na hoja ya namna ya kuianzishia kesi, hayakuwa malipo wala mgao wa hisa...

Mara nyingi kupokea pesa huwa shida kama chanzo chake ni shida, mathalani utakatishaji, ugaidi n.k
 
Ningekua mimi yani nmeona tu
Huyo telegram
Mimi Mambo
Telegram Video kolu ef8 mbele elfu 10 kulala elfu 50
Mimi NJOENI WATATU
 
NMB walichukua kwangu bila hata taarifa, tena baada ya miezi mingi sana kupita, nilikuwa nimeshasahau kabisa.
Mchawi bank statement yao, utasemaje wakati ni kweli waliweka kimakosa na wamechukua kile kile walichoweka?

Walipaswa wakutaarifu...

Kuna mshikaji wetu mmoja tukiwa ughaibuni, benki ilikosea ikaongeza sifuri kwenye pesa iliyotumwa toka bongo, ilikuwa pesa nyingi sana kwa thamani ya sasa ni kama 100mil TZS wakati alitumiwa 10mil tu...

Aliitoa yote interms of USD na akaachana na ile akaunti, hadi kesho hakuna aliyemtafuta...
 
Ndio nilichosema. Ruge aliwapa wale watu kwa ridhaa yake. Mada hii ni hela imeingia kimakosa kwenye akaunti ya mhusika. Hela ikiingia kwako kimakosa ni vizuri uwaulize bank nini kinaendelea, ukiitumia inaweza kukuletea shida. Chukulia mfano hela ya wizi imechepushwa wakakosea akaunti ikaingia kwako na wewe ukaitumia si unaonekana unahusika na umelipwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…