Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

🤣🤣🤣
 
Kwahyo inawezekana wamekosea??, Nitakuja tuu
 
Kumbe
 
USIOE KAMA SIO BIKRA
 
Nahisi kuna account za hiyo bank zina bonus.

Hii case wiki tatu nyuma nilikutana nayo kuna jamaa yangu aliniambia yeye alipokea Tsh 500,000/= kutoka crdb na toka afungue hiyo acc hakuwahi kumpa yeyote namba useme muamala ulitoka kwa mtu.
Hii inawezekana

Binafsi pia nimeamka Asubuhi nakuta msg nimepokea hela kutoka Bank ninayotumia nilishtuka kidogo japo ina maelezo...
Ikabidi niulize wenzangu
ndiyo kuaambiwa ni Bonus ya kutumia Card...
 
Sometimes bank wanaamua kutu bless wateja wao Kwangu iliingia laki 8 kwenye account haieleweki imetoka wapi nikawauliza wadau wakaniambia eti ni watu wa IT WA bank husika wanaiba Kwa mtindo huo wanaingiza hela kisha wanaitoa,sasa huwa wanajisahau kuzitoa/wanasahau account no.waliyoweka!!
Hawajakata hadi Leo
Kuna siku tena nilitoa hela kwenye ATM salio halikupungua mwaka sasa!!! Wabarikiwe Sana wezi wote WA bank kama ni kweli lakini!!
 
Yaani ni kwamba nilijua tu lazima wangenirudia tu no free lunch jasho la mtu liheshimiwe
Hamna cha jasho la mtu Wala nini ccm inakula jasho la fukara ambaye hata shilingi mia 500 kuipata shida sembuse huyo wa laki 7 na ukute ndio hao hao ccm kiufupi wewe ni bwege tuvubgekua kweli unajua jasho la mtu usingeitumia hiyo laki 2
 
Hamna cha jasho la mtu Wala nini ccm inakuka jasho la fukara ambaye hata shilingi mia 500 kuipata shida sembuse huyo wa laki 7 na ukute ndio hao hao ccm kiufupi wewe ni bwege tu
Hakuna noma mwaisa hata hao ccm wewe wanakuona bwege tu
 
Na mimi hapa imebidi niingie nicheki nakuta 516k imewekwa kwenye akaunt yangu ya App simbanking.
 
Labda dividends kama una shares kwenye makampuni.
 
Yaani ni kwamba nilijua tu lazima wangenirudia tu no free lunch jasho la mtu liheshimiwe
Na isitoshe ilikuwa Akaunti inayopita Mshahara....Usingekuwa na namna ya kukwepa kulipa hiyo hela..

Ulifanya vyema kuacha kiasi ulichoacha...Maana ni ungekuwa unakwatwa hadi deni liishe😄
 
Aisee
 
Inyakatue yote. Tena kwa sababu umesema ww sio mtumishi wa uma. Nenda kafungue akaunti benki nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…