Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

Wabongo wana njaa kali. Hawanaga muda wa kujiuliza. Majuto ni mjukuu
 
Angalia siku wakitaka kuja kurudisha pesa yao na ukawa huna kitu.

Wataichukua in kind.....
 
Hizo zimetoka kwa wakopeshaji wa hizi microfinance nyonya damu.
Be careful, wanawaza kukomba mpaka sumni ya mwisho
 
Labda ndiyo zile hela ulizoomba kwa Malaika Mkuu Gabriel.
 
WAJUBA VIPI MLISIKIAGA ILE STORY YA IT STAFF MMOJA WA BENKI ,,,,KUCHUKUA SHILLINGI 1 KWENYE KILA ACCOUNT KWENYE TAWI ALILOAJILIWA KILA SIKU ??? AND THEN IKAWA HARD KUM TRACE.......................?
 
Daah,hujamuacha fresh kabisa.Alitakuwa ajue kosa lake lisijirudie tena
Yeye ndio kaniacha kisa tu siku ya idd aliniomba hela anunue kuku nikamwambia Sina hela hajanipigia mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…