kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Habari zenu watanzania bara wenzangu.
Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena )so budget yangu ya 3m niliyokua nayo ilitosha kabisa kuwafurahisha wanakijiji wenzangu mpaka leo wananichukulia kuwa ni miongoni mwa mafogo hapa dunian kumbe choka mbaya tu.
So during all that time sikuwahi kumpost wife kwenye mitandao ya kijamii,sasa bana leo nikasema ngoja nimpost wife kwenye birthday yake then nikaandika tu "happy birthday my sweet wife"
Aisee nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ex zangu mpaka aibu.
Je nifanyeje wakuu?