Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

Mwambie nayeye akupost kwake afu uone itakuaje
Wanaume hatuna kinyaa. Angalia wanawake ambao connection zao huvuja wanakuwaje maarufu kwa wanaume, kila mmoja akitaka kujaribu bahati yake na yeye.

Akipostiwa yeye sana sana atafungua njia ya wakware kurudi kwa kujifanya kumwambia jamaa anafaidi na bi mama kupewa sifa za uongo na kweli akitahamaki masela washafanya yao.
 
Haya mambo ya ku publicise private life hasa ndoa hua sio poa.
Kikupacho furaha kifanye siri.Binadamu husda nyingi.

Halaf unajikuta wewe ndio unampeeenda huyu wife ako kumbe wahuni wanakuchora tuu maana wanampasua mpaka kuvuka mpaka sometimes.Kama mwanaume acha ujinga jinga huo.
 
Mkuu kwani ni lazima um-post wife wako huko? Hasa km unajua kuna watakaokereka au utakerwa!

Ila si yatapita tu ukivumilia kwani watakufanyaje?
 
Hahaaaaa mecheka kimaaiharaaa.....wamejithaminisha wakaona your wife hafui dafu kwaooooo, walijua umewowaa demu mkalii wa maanaa kumbeee....mtarimbo umelala doro
 
Hebu weka picha ya wife mkuu usipotukanwa na wanaJf ujue ni Wivu tu wa ma x wako
 
Post hao ma ex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…