ricostersundi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 358
- 447
Si wajirudishe wenyewe.kwan walipelekwa na serikali.Mimi na wewe tunaliona hilo.
Lakini serikali yetu sijui kama wanaelewa umuhimu wa kuwarejesha Watanzania waliopo kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wajirudishe wenyewe.kwan walipelekwa na serikali.Mimi na wewe tunaliona hilo.
Lakini serikali yetu sijui kama wanaelewa umuhimu wa kuwarejesha Watanzania waliopo kule
OkayNimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023.
Nchi zetu hususan Tanzania zinapaswa kuhakikisha usalama kwa raia wao wanaoishi kule kihalali na ikiwezekana kuweka utaratibu wa kuwaondoa raia wake Afrika ya Kusini.
Matishio haya yamekuwa yakifanyika bila hatua zozote kuchukuliwa hivyo inawezekana baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola vya Afrika ya Kusini ni wahusika wa hizi operesheni dhidi ya wageni Afrika Kusini.
Hatulipi ubaya kwa ubaya bali kumtenga mtu mbaya ni sehemu ya kumpa fundisho dhidi ya mtenda ubaya. Ni wakagi sasa wa nchi za SADC kuitenga Afrika ya Kusini na ikiwezekana Umoja wa Africa (AU) kuiwekea vikwazo Afrika Kusini mpaka watakapoondoa vitisho dhidi ya usalama wa wageni ndani ya nchi hiyo.
View attachment 2327764
View attachment 2327204
Hivi kwann wasirudi tu nawao walio uku tuwatimue warudi kwao hatupigi Hera apo ila msiingie tamaa sasaNimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023.
Nchi zetu hususan Tanzania zinapaswa kuhakikisha usalama kwa raia wao wanaoishi kule kihalali na ikiwezekana kuweka utaratibu wa kuwaondoa raia wake Afrika ya Kusini.
Matishio haya yamekuwa yakifanyika bila hatua zozote kuchukuliwa hivyo inawezekana baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola vya Afrika ya Kusini ni wahusika wa hizi operesheni dhidi ya wageni Afrika Kusini.
Hatulipi ubaya kwa ubaya bali kumtenga mtu mbaya ni sehemu ya kumpa fundisho dhidi ya mtenda ubaya. Ni wakagi sasa wa nchi za SADC kuitenga Afrika ya Kusini na ikiwezekana Umoja wa Africa (AU) kuiwekea vikwazo Afrika Kusini mpaka watakapoondoa vitisho dhidi ya usalama wa wageni ndani ya nchi hiyo.
View attachment 2327764
View attachment 2327204
Kama Leo umenifunga akili kumbe kimbilio la mwenge target Yao ni hiyo Tumeisha🤣Kumbuka tunakimbiza Mwenge wa Uhuru ambao ni zao la mizimu.
Tukipata akili tutaweza kuwaza kama wewe unavyowaza aisee