Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

Okay
 
Ni heri apewe dp world au south afrika wasiotaka wageni? Akili za watu wengine watamtaka huyo huyo msauzi
 
Hivi kwann wasirudi tu nawao walio uku tuwatimue warudi kwao hatupigi Hera apo ila msiingie tamaa sasa
 
Hivi kwann wasirudi tu nawao walio uku tuwatimue warudi kwao hatupigi Hera apo ila msiingie tamaa sasa
Kumbuka tunakimbiza Mwenge wa Uhuru ambao ni zao la mizimu.

Tukipata akili tutaweza kuwaza kama wewe unavyowaza aisee
 
Kumbuka tunakimbiza Mwenge wa Uhuru ambao ni zao la mizimu.

Tukipata akili tutaweza kuwaza kama wewe unavyowaza aisee
Kama Leo umenifunga akili kumbe kimbilio la mwenge target Yao ni hiyo Tumeisha🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…