Nimepona tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia Viagra

mkuu umepona vipi wakati unasema kuwa bado una tatizo la premature ejaculation
 
mkuu umepona vipi wakati unasema kuwa bado una tatizo la premature ejaculation
Nilikuwa hata kusimamisha siwezi mkuu zaidi ya wanawake watano imenitokea hii Hali Kwa vipindi Tofauti so issue ya premature it's not deal hapa ni mazoezi,chakula,kutuliza akili kila kitu kunakuwa Sawa
 
hongera sana mkuu.

kiukweli ulikuwa na wakati mgumu sana. Sasa bila shaka unatembeza kichapo cha P vilivyo.

Huu ndo muda muagaka wa kuvuta jiko ujilie kwa raha zote yako mwenyewe tena ya halali.
Yaani Aisee..Kaka Hapa Mambo ni Moto najiona kama nimerudi uanaume jamani kama una shida yoyote ya nguvu za kiume usisite kuwashirikisha wadau wakusaidie
 
Sawa mkuu kwa iyo toka mwezi wa kwanza ulipoacha mambo yakawa safi? Na vipi ulipima pressure na mambo mengine kwanza maana nasikia lazima upate ushauri wa wataalamu kabla ya kutumia??
Yah Mimi ni mtu wa Afya ...nilipima kabla maana Dawa hizi zina tendency ya kulower blood pressure so Kwa mtu mwenye hypotension (pressure ya kushika) ni rahisi kwenda na maji I mean kufa maana ikikutana na mtu mwenye pressure ya kushuka na akitumia inakuwa changamoto
 
Nilikuwa hata kusimamisha siwezi mkuu zaidi ya wanawake watano imenitokea hii Hali Kwa vipindi Tofauti so issue ya premature it's not deal hapa ni mazoezi,chakula,kutuliza akili kila kitu kunakuwa Sawa

sio big deal? mimi nateseka kwa zaidi ya decade sasa mkuu
 
Issue ya premature ni ndogo hapo inabidi uunganishe bao.

Ile la kwanza unaunga na la pili, bao la pili i guarantee uta last hata dk 10.

Ukishapiga bao, we endelea tu dushe utaona inapandisha 4G LTE yenyewe toka kwenye GPRS.

Kuna mazoezi unafanya yanasaidia, fanya research utagundua.

Thanks.
 
Ina maana Kuna chance ya kudum kweny process only 20 minutes!?
 
Ina maana Kuna chance ya kudum kweny process only 20 minutes!?
Kwenye kuishughulikia mbususu
, dk 10 ni nyingi mno.

Usiseme only 20 mins, mwanamke anachukua dk 10 hadi 15 kufika kwenye climax , hapo inategemea, kuna issue zingine kama amekuelewa na ana hamu na wewe hata dk 6 tu.

Dk 30 mtaanza kuchubuana, lazima awe mkavu.

Dk 10 zinatosha sana ukiongezea na utundu mwingine.

Halafu wenzetu huwa wana fika zaidi ya mara moja, kwenye dk 20 unakuta amefika hata mara 3.

Anakojoa unaendeleza dozi, anakojoa unaendeleza..
 
Shukran kwa madini, na kwa mfano mtu aliyeathiriwa na punyeto aka ejaculate chap 1,2 kw pamoja ndan ya dk Mbili tu ,na hapo mwanamk bado hajakojoa ,mtu Kam huyo unamsaidiaje au ushauri ili apate nguv kufik angalau goli la 3 bila kupanic!?
 
Suala la nguvu za kiume ni pana sana.
Unaweza kuhisi una tatizo kumbe tatizo lipo kwenye kutokujiamini au una matatizo psychologically.

Mfano kukojoa mapema inaweza tokana na mchezo mzima, mfano umekutana na pisi kali saaana, halafu ulikuwa unamuelewa muda, hapo mzee hata uwe na uwezo huchukui dk 3.

Huwezi sema hilo ni tatizo.
Ushauri: Jiridhishe kama kweli una hilo tatizo au la, unaweza fanya research online na kusoma vitabu mbali mbali.
Pia kuna vyakula n.k, humu jf kuna nyuzi nyingi wataalamu wanazungumzia hilo.
 
😂😂😂Nmekubali et mf umekutana na pisi Kali saaana ..... Umetisha mtaalam ya hizo group madalali wengi kila mtu anakurushia dawa tu ,nilichomatter kwak muhim ni kujiamin na vizur ukutane na mtot bikra itaondoa hofu na pressure Ila hawa mafundi wa mchezo lazma ujilaumu,naskia wengin hata kabla ya kuingiz wanamwaga nje kuavoid hii tunafanyaje??
 
Kikubwa ninachoamini wanaweza kutibika.

Hili tatizo kuna baadhi ya watu wanatumia kama fursa, wana mis lead watu, uko vizuri lakini wanakuambia una shida.

Ngoja nikifanya research nitakurudia mkuu.
 
Kikubwa ninachoamini wanaweza kutibika.

Hili tatizo kuna baadhi ya watu wanatumia kama fursa, wana mis lead watu, uko vizuri lakini wanakuambia una shida.

Ngoja nikifanya research nitakurudia mkuu.
Usiache kurudi uje uokoe jahazi
 
Ni Kweli inaponya kabisa aisee. Ni ukweli usiopingika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…