Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Umefanya kosa kumshtua. Mwache aliwe ajue dunia hadaa walimwengu shujaa
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Umekutana na scammer subiri kuombwa pesa ya kusafirisha au kutoa mzigo na mtu anayedaiwa kuwa agent
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
wanawake wa kizungu hawako rahisi kiasi hicho hasa humu mitandaoni binafsi nimestruggle sana kuwapata mtandaoni wanaogopa strangers sana.
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Shauri lako matapeli hao. Ishanitokea zaidi ya maramoja, wanakuja na lugha nzuri kweli mwisho utaombwa number yako ya account na details zingine. Subiri
 
Hilo ni genge la midume ya Nigeria, Ghana na Kenya kwa pamoja. Wanatumia namba za ulaya na picha za wanawake wa kizungu. Ukitaka kama kakupa.namba ya WhatsApp piga Whatsapp call ndio utacheka wanajisahau Lile li kiingereza libovu la west Africa la kuweka O! Mwishoni au Ogaa!!!
 
mkuu amenichek WhatsApp code number ni +1
Wenzio wameongea kabisa kwa video call wakaona ni kweli mzungu mwisho wa picha wakapigwa na kitu kizito.
Hujasikia wazungu walikamatwa TZ wakifanya cyber crime kwenye ATM za bank?
Hao wahuni wanaweza kuwa wazungu peke yao au wanashirikiana na waafrika.
Wake up mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…