Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanigeria hao boss wapo kaziniJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Umefanya kosa kumshtua. Mwache aliwe ajue dunia hadaa walimwengu shujaaWaongo ilishanikuta siku wakituma watakwambia ndege inaishia Ghana hivo atakwambia yeye yuko bize na amemkabidhi rafiki yake akuletee huo mzigo na huyo rafiki atakwambia amepungukiwa pesa na hivo ongezea pesa ya kutuma mzigo kutoka Huko Ghana[emoji23]
Umekutana na scammer subiri kuombwa pesa ya kusafirisha au kutoa mzigo na mtu anayedaiwa kuwa agentJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Bila shaka umetumiwa oicha kama hizi;Jiandae kutuma dolla 130 za kumalizia ulipiaji wa mzigo kwa njia ya western union!!
wanawake wa kizungu hawako rahisi kiasi hicho hasa humu mitandaoni binafsi nimestruggle sana kuwapata mtandaoni wanaogopa strangers sana.Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Shauri lako matapeli hao. Ishanitokea zaidi ya maramoja, wanakuja na lugha nzuri kweli mwisho utaombwa number yako ya account na details zingine. SubiriJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
ahaaa kumbeeShauri lako matapeli hao. Ishanitokea zaidi ya maramoja, wanakuja na lugha nzuri kweli mwisho utaombwa number yako ya account na details zingine. Subiri
sawa mkuu halafu wanategea kipindi hiki cha mavunoScammer huyo shtuka mkuu utapigwa mchana kweupe
Mwezako anaona amepata kumbe amepatikanShauri lako matapeli hao. Ishanitokea zaidi ya maramoja, wanakuja na lugha nzuri kweli mwisho utaombwa number yako ya account na details zingine. Subiri
akiniambia nitume hella namkacha
Wenzio wameongea kabisa kwa video call wakaona ni kweli mzungu mwisho wa picha wakapigwa na kitu kizito.mkuu amenichek WhatsApp code number ni +1
Mimi alikuja mwarabu nkahisi scammer tuna miez 6 sasa mtoto wa watu mdogo yule ngoja niuze masofa nkale mbususu tuniswanawake wa kizungu hawako rahisi kiasi hicho hasa humu mitandaoni binafsi nimestruggle sana kuwapata mtandaoni wanaogopa strangers sana