Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Kumbe na jf upo?,nilthan fb tu
 
[emoji120]
 
kwelo aise nikipiga anasema yupo busy nimpigie mara kidogo ananichatisha
 
Mimi nana WhatsApp mbili moja natumia namba ya Tz moja Kenya Sasa datail zangu za Fb nimewekaga tz. Waliniomba urafiki tukachat akaomba namba ya WhatsApp nikampa ya Kenya nikamwambia mimi nipo Kenya baada ya siku mbili akanitumia air ticket ikionyesha Kuna pasel yangu imetumwa tz KIA maana ndege hiwezi fika Kenya Kuna emergency so wakasema nitume Ela ili pasel isafirishwe Tena kuja Kesha niipoke nilivyo muhuni na mm nikawaambia nipo Tz na picha ya uwanja wa ndege nikawatumia nikawaaambia nimeshasafi toka Kenya kufata mzigo wangu Tz wakanilamba block
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sana mkuu. wanajikuta wajanja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…