Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
KabisaWaongo ilishanikuta siku wakituma watakwambia ndege inaishia Ghana hivo atakwambia yeye yuko bize na amemkabidhi rafiki yake akuletee huo mzigo na huyo rafiki atakwambia amepungukiwa pesa na hivo ongezea pesa ya kutuma mzigo kutoka Huko Ghana[emoji23]
Utatapeliwa weweJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Ndo hao haooo.. yani utapigwaa uchakaeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nutrionist wa nyokweeeYupo algers hosp ni nutritionist mkuu
Take risk if you win, you become a winner if you loose yo become a wiserKila mtu kakusanua ili usitapeliwe , ila mimi nakushauri komaa na mzungu upate zawadi zako, kuna mda ili ulijue jambo kiundani zaid inabidi uwe kwenye field area kabsa , ukiambiwa kwa mdomo ukaacha hautajua yupi ni mkweli kati ya wanazengo au mzungu wa fb , mwisho wa sku utakuja kupigwa kivingne.
Hivi wewe hujawahi kusikia kitu kinachoitwa online scam? Hivi jiulize umefanya nini kwake kiasi cha kumfanya aamue kukutumia zawadi zote hizo?Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Hizo ni virtual number hata wewe unaezanunua mtandaonimkuu amenichek WhatsApp code number ni +1
Nkupe namba yake?Ndo hao haooo.. yani utapigwaa uchakaeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nutrionist wa nyokweee
Copy that! Target confirmed, do you have a clear shot?Target acquired, i repeat target acquired..
Bwege mtozeni anakaribia kuingia kwenye target nzuri muhuni ampige kirahisi sana..Unakaribia kupigwa na wahuni wa mitandaoni.
Nina mashaka na usomi wako.mkuu amenichek WhatsApp code number ni +1
nawe rudi shule ni kwa uandishi huoKwa mtindo huu mnawalalamikia dipii woridi bure
yeah sir ..., I'm waiting for the execution order..Copy that! Target confirmed, do you have a clear shot?
Huyo ni mnaijeria(nigerian) anataka kukuingiza chaka. Utalia sasa hiviJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Ukijipima unajiona unastahili zawadi?Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Noo dont shoot we will use BOOOM if not Komboraaaaaaa kwa huyu falaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah sir ..., I'm waiting for the execution order..