Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Mtu yuko Lagos Nigeria chini ya mti unajua mzungu na unasubiri zawdi
 
Kuna wale wa telegram akanchek nikamwambia nipo South
Akanambia You are beautiful
Nkamjibu You meant handsome 😅 you fvcking yahoo boy
Nkaona nmekula block

YAN JAMAA LILISAHAU KAMA LINAJIDAI NI LA KIKE
 
Kuna wale wa telegram akanchek nikamwambia nipo South
Akanambia You are beautiful
Nkamjibu You meant handsome [emoji28] you fvcking yahoo boy
Nkaona nmekula block

YAN JAMAA LILISAHAU KAMA LINAJIDAI NI LA KIKE
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Kila mtu kakusanua ili usitapeliwe , ila mimi nakushauri komaa na mzungu upate zawadi zako, kuna mda ili ulijue jambo kiundani zaid inabidi uwe kwenye field area kabsa , ukiambiwa kwa mdomo ukaacha hautajua yupi ni mkweli kati ya wanazengo au mzungu wa fb , mwisho wa sku utakuja kupigwa kivingne.
 
sawa nitaleta mrejesho.
 
Mimi alikuja mwarabu nkahisi scammer tuna miez 6 sasa mtoto wa watu mdogo yule ngoja niuze masofa nkale mbususu tunis
Huyo yupo Tunis kambi ya wakimbiziii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unakaribia kupigwa na wahuni wa mitandaoni.
Nakazia hapa tena sio pisi ya kizungu. Anapigwa na mbongo au mkenya soon.

Wewe subiri utumiwe picha ya boksi lenye majina yako na namba ya simu kwa ku edit ilikukuaminisha zaidi mzigo wako kwa pembeni atakuwa sister wa kanisa lisilojulikana..

Upigaji ni pale utakapo ambiwa utume pesa ili wafanye clearance ya mzigo wako.
 
Back
Top Bottom