Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Kuandika koote huku kumbe unataka 5000😀
 
Duh...magonjwa haya ...hongereni kumpambania dogo
 
Sio kweli bwana....atapona ikigundulika shida nn..hijaona ushuhudahuko juu
Usiamini sana shuhuda hizi. Mtu atakwambia fulani alienda kwa fulani akapona, kuna tabibu wa kichina, wa kikorea, Ndodi, Mwamposa, wa kisuna nk nk. Wengi huwa ni wasio na huruma wanaokula pesa za watu wenye matatizo. na ukiwa mgonjwa utajaribu kila kitu kujitibu. Kama hospitali imeshindikana ni ngumu kutibika huko nje.
 
Ume-mention mKorea hapo,inawezekana ni niliyemtaja mimi na mimi siyo kwamba ni mgonjwa nimesema ni ndugu yangu anatibiwa hapo lengo langu siyo mtu akaibiwe naamini yeye nae ni mtu mzima atahoji maswali ya msingi kabla hajaingia contract na jamaa kumtibu.

Ukiumwa au ukiuguza unapagawa upo sawa
 

Anapatikana maeneo gani?
 
Mtu anatetea afya yake we unawaza ngono. Hicho kichwa unatumia kufugia nywele?
Ngoja wakati wako utafika utajua dhihaka uliyofanya

Nilomuambia kanijibu vyema nyie mnawashwa makalio nin
 
Hasa sikulenga watoa ushauri kuwa ni matapeli, ni hawa matabibu wa alternative medicine ndiyo wengi wao wana utapeli bila huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…