CHIZI VITABU pole sana kwa masahibu unayopitia,naweka hapo chini namba ya simu ni doctor wa Kikorea nasikia anatibu sana mambo ya viungo hasa mishipa ya fahamu na maradhi ya kupooza
(stroke)mimi nimemfahamu kupitia kwa mtu alikuwa anamtibu mkewe kwake.
Mimi pia nina mtihani nina bwana mdogo namuuguza alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya kichwa na mwili kupooza upande mmoja nikampeleka kwa huyu doctor dawa zake zikamsaidia maumivu ya kichwa yamemuisha na kule kupooza kumeacha ila tatizo kichwani anasumbulia na kelele asizojua zinatoka wapi,ni gharama sana kama utaweza ku-afford nakuomba ukajaribu huko
Pole sana Mungu akusaidie 065-436-3501