Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

Ikishakuwa addiction hata familia nzima ikukumbatie ni kazi bure tu. Ndio maana kila kitu kinagakiwa kiwe kwa kiasi, kula, kunywa nk viwe kwa kiasi. Anything excessive is harmful.
 
Somo kubwa hapa halijaelewa kwa wengine. Ni kwamba ukiwa na ndugu mwenye tabia ya ndugu yangu huyo, mwimbie wimbo wa madhara ya pombe bila kuchoka; usimwaje ajiamulie kila kitu freely hata kama ni mtu mzima.

Pole, Binadamu ni vigumu sana kubadilika wakipata addiction kama hiyo. Ukimshauri sana mtagombana. Ni mpaka aamue mwenyewe au apate janga kubwa litalomwamsha.
 
RIP Mpiganaji Mstaafu
 
Alirudi akaenda kulala moja kwa moja; mke wake alikuwa amezowea tabia hiyo ila safari hii inaonekan ilikuwa zaidi.
Hakuna cha zaidi wala pungufu, muda wake ulishafika.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
Mfichie aibu yake, sio kuitangazia Dunia. Huenda ni madhara ya vita. Vita vina mambo mengi!
Ulevi na tabia mbovu kama hizo sio za kuficha na hayo si mapungufu kwamba binadamu anakuwa hana uwezo wa kuyaacha, lazima ifike mahala watu waambiwe ukweli kuhusu tabia mbovu zinazoharibu maisha na afya.

Ulevi uliopitiliza ni janga baya linalotakiwa kukemewa na sio kufichwa, acheni upuuzi mnaoyakumbatia haya mambo ya kufichaficha tabia za kishenzi ktk jamii.
 
Pole sana ndugu.....
Mimi nilikuwa mlevi wa kupindukia yaani sichagui pombe iwe za kizungu au kienyeji....hili jambo limeniuma sana....zingatia hatunywi kwa hiari...na kwenye kila "hangover ".....Kuna kiapo cha kuacha pombe.....
 
Sawa mkuu
 
Kaka Kichuguu ,

Pole sana kwa kuondokewa na Kaka yako.

MUNGU ailaze Roho ya Mpendwa wenu Mahala Pema Peponi.
 
Pole brother , ila sijui kama ungeweza kumbadilisha kwa kuwa karibu, zimefika tuu na kila mtu kwa time yake, RIP
 
Ikishakuwa addiction hata familia nzima ikukumbatie ni kazi bure tu. Ndio maana kila kitu kinagakiwa kiwe kwa kiasi, kula, kunywa nk viwe kwa kiasi. Anything excessive is harmful.
Excessive indulgence leads to suffering
 
Nimesikitika sana mkuu kwahiyo wewe ulitaka afe Kwa malaria au agongwe na gari afe?

Kifo ni kifo mkuu. Kifo Cha kujitakia ama Cha aibu ni kunywa Sumu ama kujinyonga.
 
Kama alikuwa veteran kwanza kwa niaba ya wengine i thank him for his service to his country. Second veteran wengi waliporudi hawakuwa na support, na pombe ni tatizo la wengi ambao wame experience traumatic events sababu ya vita. Its seems he has several PTSD isi why akakimbilia pombe. No support from gov or baadhi ya wanao mzunguka.
Carry his memory but also it time jamii yetu iache ku ignore mental health issues
 
Unazani Nini kifanyike maana mdogo angu pia anapitia haya mapito anakunywa Sana nimeongea wee wazazi wameongea wee hasikilizi what to do..?? Nipo kwenye dillema for sure..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…