Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

Tiba ya mke ni ile bakora tu, ukiitumia vizuri lazima akuheshimu; hakikisha unapokuwa kwenye shoo awe anatoka analia.
 
Ushauri wako hautekelezeki
Usipokuwa makini na marafiki wa mwenza wako ndoa inaweza ika fail
Sababu ya mtoa mada ni nyepesi sana kumbuka katika dunia rafiki huja na kuondoka ila familia inadumu
Familia labda ya watoto.
Huyo mke anaweza asidumu vile vile mkapeana talaka.
Je hilo walionaje!?
Marafiki ama majamaa ni watu muhimu katika haya maisha,huwezi jua hao jamaa mleta mada katoka nao wapi.
Mwishowe utakuja kumkosesha mwenzio dili za kifedha za umuhimu kwa us*enge huu huu eti sitaki marafiki.
Huu ujinga mie siukubali,ila jamaa anaonekana mlaini sana hajui kukemea.
 
Wanawake wana akili za kijinga sana. Hivi wewe hali ikiwa ngumu nani atakuokoa kama sio marafiki zako. Lenyewe halitakuwa hata na cha kufanya zaidi ya kuhaha tu kama sio kukimbia
Ndio hapo sasa.
Usikute jamaa akipukutika na kuwa mufrisi mwanamke akashindwa uvumilivu na kumkimbia.
Ila hao jamaa ndio walikua nae katika kila nyanja"all men are meant to be brothers" mpaka katoboa.
Wanawake ni VITOBO haki ya Mungu.
 
Family first ni vema aendelee kutafuta namna nzuri ya kushughulikia changamoto zake ikiwa ni upande wa kiume au kike unapoingia kwenye ndoa lazima Kuna mambo yatabadilika na huenda ameongea machache ila IPO sababu ya msingi ya hili kutokea ila hajalisema
Rafiki wanafiki wako wengi sana duniani
 
Sasa mhusika ndiyo kasema hivyo hauwezi kumbishia.
Hata hivyo lazima amchoke huyo mwanamke. Yeye mwanamke kuleta ndugu zake nyumbani ni freshi il jamaa kuleta ndugu zake nyumbani mwanamke anachukia.
 
Mkuu,tumia hiyo kama fursa to gain your financial freedom kama na yeye ni mpambanaji.
Hakuna fursa yeyote hapo mzee.
Udugu/ujamaa ni mali bro.
Hizo fedha hazikupi kila kitu.
Siku unaweza pata mtihani ikahitajika mtu wa kukuogesha na kukuuguza,je pesa ndio zitakuuguza!?
Na mbaya zaidi ushatemana na ndugu na majamaa,unadhani ndugu wa huyo mkeo watakustiri!?
Jibu ni HELL NO.
Mchumia janga hula na wakwao.
Na mkeo HANA huo uvumilivu wa kukustiri muda wote,mwishowe utakimbiwa tu na mkeo huyo huyo aliyekukatazia ndugu na jamaa.
Usitetee huu uozo man.
 
Sasa mbona ni kitu kizuri?tena aongeze ukali zaidi. Marafiki kutana nao kwa kiasi na kuja nyumbani ni mara chache hasa kama kuna shughuli....huo ndio ukuaji. Mbona wazazi wako uliwaacha?
Wazazi wake hazungumzi nao na kuwatembelea?
Je wazazi hawamtembelei nyumbani!?
Mbona mifano haiendani mkuu!?
Yani ni irrelevant.
 
Kama mke wako naye hataki marafiki wa upande wake ili muwe wawili tu sawa hiyo nakupa 💯 kwasababu anataka mahinde wote umtafune kila saa pia akuone muda wote ili anyegeke ila kama rafiki wa upande wake wanakuja ndugu yangu tayari hilo jipu
 
Family first hatujakataa.
Ila sio kwa kukataza ndugu na majamaa.
Hapo mleta mada keshasema hadi ndugu zake mkewe kamkataza kuwaleta.
Na MIND YOU BRO WANAWAKE wa siku hizi hawana guarantee.
Family ni WATOTO ZAKO MKEO USIMUHESABIE.
Hao hawachelewi kwenda TAMWA na TAWLA kudai talaka na kuomba mgawanyo wa mali.
Siku unaweza shikwa na gonjwa mkeo akawa ndio wakwanza kukukimbia na majamaa uliowakataa ndio wakakuuguza.
Mimi nime experience haya.
Sasa kama unataka kuumia weka guarantee kwa huyo unaemuita mkeo eti family.
 
Pole sanaaa
 
Hivi mtu asie weza kufanya maamuzi mwenyewe bila kuwa inspired na watu wengine ana uzima kweli?

Mkeo anakujenga uwe baba bora na imara uwe na decision making ya kwako peke yako we uko bize kulilia marafiki.

Kuna marafiki wengine hawapendi ufanikiwe.

Na nikupe siri leo; mwanamke ni kiumbe anaeona mbali sana hivyo akikwambia kitu sidhani kama ni kwa ubaya. Jitegemee
 
Pengine hao marafiki zako wameshawai kumtongoza wakati wewe bado unamausiano nauyo bibie
 
Sasa kama mke atakataa hadi ndugu zako hapo si unaona shida tayari ndani ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…