Marafiki hawawezi kukushauri Uoe Wala ujenge haya maamuzi mtu huwa anafanya yeye mwenyewe kwa kuangalia na kutathmini uwezo wake
Yes wanaweza kuwa na mchango ila sio mkubwa kiasi Cha kusema kama sio wao basi usingefanya
Kifupi jamaa anaweza kuwa kamchoka huyo mwanamke Sasa anatafuta scape goat ili atimize malengo yake but nothing bits a woman who gave him two beautiful children ye afurahishe familia yake na sio marafiki