Zipo biashara nyingi ambazo kuna PUMBAVU wamezihodhi na kuzifanya zao kiasi cha kuanzia kwenye hizo Bodi za biashara husika na Serikali kuna PUMBAVU zinashibisha matumbo yao huku mamilioni ya wakulima na vijana wa kitanzania wakiumia... Masoko ya bidhaa nyingi za kilimo yapo kwenye mikono ya wahuni na kufikia kuhodhi hizo biashara kama mali yao huku watanzania wakiwa hawajui chochote juu ya hizo fursa...
Wahusika kazi yao kuu ni kusimamia bei sokoni, kusimamia wakulima na kuwapa maarifa, kutafuta masoko na kuyatangaza kwa watanzania, kutoa elimu kwa mamilioni ya watanzania ili sasa wapractice hizo biashara....kusimamia mashamba husika ya Serikali nk... Matokeo yake hizo PUMBAVU zimefilisi mashirika na mashamba kuwapa wahuni wenzao na wao wakiwa mgongoni mamilioni ya watanzania wakiteseka wao na familia zao + vimada + chawa wakiienjoy tu maisha na watanzania wakiitwa wavivu, vijana wetu wahitimu wakiambiwa wajiajiri huku watoto zao wakiwa kwenye hizo biashara na kwenye Bosi mbalimbali...
UNAFIKIRI PUMBAVU KAMA HIZO ZINAHITAJI NINI ZAIDI YA UNYAMA DHIDI YAO, FAMILIA ZAO, VIMADA NA WAPAMBE ZAO....FILISI MALI ZAO, WEKA JELA WAFIE HUKO, mamilioni ya watanzania wasaidiwe, vijana wetu wapate kazi, nchi ipate kodi stahiki nk...