Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Tambala machimu E Misri natoshoka onene. He was a dictator, unprincipled, cruel and uncivilized person ever ruled this country.
 
Masikitiko ya watu zaidi ya mil 50 mungu aliyasikia na akajibu kwa mda wake sasa endelea kupoteza bando kwa kufanya ibada za wafu
Hivi huyu ni Mungu yupi aliyesikiliza maombi ya mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wezi, magaidi, wadhulumaji, wavivu ,wapiga madili akamwondoa Magufuli ili wao waneemeke
 
Tukiacha masikhara na kuamua kuwa serious tutagundua kuna mahala marehemu (RIP JPM) aliimudu hii nchi na nchi ilimhitaji mwamba kama yeye kuifikisha pale ambapo wengi tunapenda..

Mfumo wowote duniani hauwezi kufavor watu wote, hasa mifumo kwenye nchi changa zenye kila aina ya figisu na ujinga kuanzia wa watu wake na watu kutoka nje...hapa lazima kuna watakaoumia na watakaoneema ili vision na focus vikamilike...

Tukirudi nyuma huko na sasa chini ya utawala wa mama yapo mambo ambayo yameitesa sana hii nchi ambayo lazima tukubaliane yanahitaji UKATILI (yes ukatili) ili yawekwe sawa na jamii ijifunze na kila mtu ajue nafasi yake..naonyesha baadhi ya ujinga ambao unahitaji UKATILI na UNYAMA..

Ukwepaji mkubwa wa kodi na kuneemesha wachache huku mamilioni wakiteseka..
Wizi uliokithiri kila mahala kiasi cha kufirisi mashirika na taasisi za umma na nchi kuishia kuwa ombaomba..
Serikali kuogopa matajiri na wanasiasa ambao wakikohoa tu basi Dola na Rais inabidi wapige magodi na kusujudu.
Wizi kwenye miradi ya serikali na mingi kuwa understandard..
Taifa kuwa na watu wazembe wanaoishi kiujanjaujanja kiasi cha kuzalisha mission town wengi, makahaba na wadangaji, vijana mashoga wengi na kila aina ya ujinga..
Tanzani kuwa kitovu cha uuzaji na usafirishaji madawa baada ya mifumo kuwa loose na jamii kuishi kwa kupenda dezo...

Hayo ni machache tu kwenye hiyo Paragraph ya juu katika mengi ambayo hapa tutajaza server ya JF tu... Huo ujinga kuuondoa kunahitaji ukatili na roho mbaya maana wahusika watapitia mbinu nyingi kukukwamisha hasa za gizani kwa kutumia vibaraka either kwa kujua au kwa kutojua ili ukwame na ujinga uendelee, vibaraka watakuja na mbinu nyingi saaana kukushika ndevu hapo UNYAMA must apply ili jamii ijifunze..
 
Zipo biashara nyingi ambazo kuna PUMBAVU wamezihodhi na kuzifanya zao kiasi cha kuanzia kwenye hizo Bodi za biashara husika na Serikali kuna PUMBAVU zinashibisha matumbo yao huku mamilioni ya wakulima na vijana wa kitanzania wakiumia... Masoko ya bidhaa nyingi za kilimo yapo kwenye mikono ya wahuni na kufikia kuhodhi hizo biashara kama mali yao huku watanzania wakiwa hawajui chochote juu ya hizo fursa...

Wahusika kazi yao kuu ni kusimamia bei sokoni, kusimamia wakulima na kuwapa maarifa, kutafuta masoko na kuyatangaza kwa watanzania, kutoa elimu kwa mamilioni ya watanzania ili sasa wapractice hizo biashara....kusimamia mashamba husika ya Serikali nk... Matokeo yake hizo PUMBAVU zimefilisi mashirika na mashamba kuwapa wahuni wenzao na wao wakiwa mgongoni mamilioni ya watanzania wakiteseka wao na familia zao + vimada + chawa wakiienjoy tu maisha na watanzania wakiitwa wavivu, vijana wetu wahitimu wakiambiwa wajiajiri huku watoto zao wakiwa kwenye hizo biashara na kwenye Bosi mbalimbali...

UNAFIKIRI PUMBAVU KAMA HIZO ZINAHITAJI NINI ZAIDI YA UNYAMA DHIDI YAO, FAMILIA ZAO, VIMADA NA WAPAMBE ZAO....FILISI MALI ZAO, WEKA JELA WAFIE HUKO, mamilioni ya watanzania wasaidiwe, vijana wetu wapate kazi, nchi ipate kodi stahiki nk...
 
haya nitajie rais wa tanzania ambae hajaua katika utawala wake, ambae hajawatesa wanaomkosoa ili nijue kama husumbuliwi na chuki binafsi
Mwinyi na kikwete hawajafikia kiwango cha mauaji yaliyofanywa na magufuli japo mkapa nae aliwaua sana wazanzibari mwaka 2001
 
Back
Top Bottom