Tripper
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 778
- 1,522
lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijali wapo wanafunzi wake kina sabaya makonda pole pole na bashiru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali wapo wanafunzi wake kina sabaya makonda pole pole na bashiru
Ipo siku utakufa hata wewe hapo utasema Mungu fundiMungu Fundi sana
Hao mil 50 mbona walilia sana mababarani Magufuli alipopitishwa kupumzishwa sasa sijui huyo ni Mungu yupi aliyesikiliza maombi ya mafisadi,wala rushwa, vyeti fekiMasikitiko ya watu zaidi ya mil 50 mungu aliyasikia na akajibu kwa mda wake sasa endelea kupoteza bando kwa kufanya ibada za wafu
Hivi huyu ni Mungu yupi aliyesikiliza maombi ya mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wezi, magaidi, wadhulumaji, wavivu ,wapiga madili akamwondoa Magufuli ili wao waneemekeMasikitiko ya watu zaidi ya mil 50 mungu aliyasikia na akajibu kwa mda wake sasa endelea kupoteza bando kwa kufanya ibada za wafu
Hii kauli ya mitano tena ndiyo iliyo sababisha Mungu akapindua meza
View attachment 1991836
Wenye roho mbaya na chuki wamekasirishwa kwa kumiss kauli kama hizi.
Yes ni Fundi, ni Fundi kweli.Ipo siku utakufa hata wewe hapo utasema Mungu fundi
Yapo mengi mkuu. Barabara nyingi kajenga, kanunua ndege nane na kaweka msingi wa manunuzi ya ndege nyingine.Chief unamlilia kwa lipi huyo jamaa yako? Unaweza hata kuorodhesha mawili matatu
Mwinyi na kikwete hawajafikia kiwango cha mauaji yaliyofanywa na magufuli japo mkapa nae aliwaua sana wazanzibari mwaka 2001haya nitajie rais wa tanzania ambae hajaua katika utawala wake, ambae hajawatesa wanaomkosoa ili nijue kama husumbuliwi na chuki binafsi
Jitoe wewe mfuasi wake watanzania tuliobaki tunashukuru Mungu utawala wa Haki na Sheria umerejea tena.Usitusemee watanzania wote, sema shetwani amewatendea haki nyie majizi, mafisadi, vyeti feki, wauza ngada, wapiga dili na vibaraka wa mabeberu.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app