Sasa kama magufuli na samia wanatekeleza ilani moja ni kipi kinachowafanya muone marehemu alifanya kazi kubwa kumzidi samia? Muachage unafiki watanzaniaMingi tu mkuu. Hakujenga barabara peke yake kajenga madaraja makubwa kama lile la Busisi.
Inabidi uniambie tofauti ya Kikwete na Magufuli wakiwa wanatekeleza ilani moja CCM, ubinafsi na chuki zetu zinatufanya tushindwe kuuelewa ukweli huo. Ni sawa umtofautishe Mama Samia na JPM wakati wanatekeleza ilani ile ile ya chama kile kile.
Na wewe mamakoWanafiki kama mamako.
Propaganda zipi? Lisu hakupigwa risasi 38 na dunia nzima ikiona hapo kuna uwongo.nyie watu mna funza Kwenye bongo zenu siyo bureHuwezi kubadilisha legacy ya Magufuli kwa hizi propaganda zako za kinafiki zilizotengenezwa kwa chuki kwa kugeuza ukweli kuwa uwongo
Haya majamaa yanayomkumbuka magufuli mapumbavu sana.Kweli kwa sababu hatotoke mtu ataka sema kama hukuchagua mbunge wa ccm sitoleta maendeleo na kumwa mbia spika ww wafukuze huko bungeni wakija njee mm nitashuhulika nao
Mfuateni kule kule akawaongoze mfikie upeo kwa maendeleo ya kule. Maana mnaanza kumkufuru Mungu sasa.Nimeupenda Sana ukweli wako, kwa gu Mimi Magufuli ndio Bora kuliko wote waliopita na waliopo Nina hakika hata wajao...rest easy Mr President
Nani kakwambia Mungu anaipenda CCM?. CCM haijawahi kushinda uchaguzi hao CCM ni mawakala wa shetani.Hivi mungu anaipendea nini hii ccm ameiacha hadi leo?
Wewe kwa mtazamo wako alichofanyiwa ulimboka na alichofanyiwa Lissu ni mambo yanayokupendeza?Unafikiri Dr Ulimboka ataona alichofanyiwa na Kikwete ni kidogo sana ukilinganisha na Lissu?
Mungu hafananishwi huo mfano wako ni invalidHabari za kufananisha unazileta wewe na hata sijui zimeingiaje, mi nimesema tu hata Mungu wapo kibao tu wasiompenda na huo ni ukweli na huyo ndio Mungu.
Wewe bwege kweli unaweka picha peke yake chumbani badala ya kuchapisha hiyo picha kwenye mashuka na chupi zako na vikombe vya chai ili umkumbuke vizuri.Pole sana mkuu, Binafsi Magufuli naamini ndiye Rais bora ambae aliiwaza Tanzannia ya miaka 2050, Magufuli alikuwa kiongozi sema Watanzania wengi wanataka wanasiasa.
Hii picha hapa chini iko ndani kwangu tena chumbani kwangu!
View attachment 1991351
Mkombozi wa familia yakoTanzania tumeondokewa na Mkombozi.
Wasukuma mna tabu sana. Nani asiye na dini nchi hii ambaye alikuwa rais?Wadini sana hao wewe hujui
Naona machinga mmekuja kumlilia hukuKama ulikuwa na tabia za wizi,utapeli na kuishi kwa ujanja ujanja mjini hakuna jema la Hayati JPM utakaloliona.
Pelekeni imani za kishirikina mbele huko.magufuli amekufa kwa kuieletea dharau Corona yeye na wasaidizi wake wamekufa kwa ubishi wa kijinga.Nawaza familiya yake wana hali gani. Alivyokiwa akisema mmuombee lizani anatania yule baba kapita pabovu mno, mara nini mara kile mara atumiwe moshi dah
Sasa yanipendeze kwa lipi? muhimu hapa ni kwamba kwenye kila utawala lazima tu kuna watu watashughulikiwa kama akina Ulimboka na Lissu.Wewe kwa mtazamo wako alichofanyiwa ulimboka na alichofanyiwa Lissu ni mambo yanayokupendeza?
Sasa nani kamfananisha Mungu na nimemfananisha na kitu gani? naanzaje kufananisha kitu ambacho sijawahi kukiona.Mungu hafananishwi huo mfano wako ni invalid
Mungu anajua alichokifanyaMungu tusaidie tusije tukapata tena raisi kama yule.roho mbaya ilimzidi sana.
Sasa kama Mungu alimuondoa Magufuli kutokana na maombi ya watu iweje asiondoe na ccm ambayo chanzo cha matatizo yote hata huyo Magufuli kapatikana kwa sababu ya ccm?Nani kakwambia Mungu anaipenda CCM?. CCM haijawahi kushinda uchaguzi hao CCM ni mawakala wa shetani.
Kwahiyo tumkumbuke Nyerere tu pekee?Haya majamaa yanayomkumbuka magufuli mapumbavu sana.
Corona unaikamataje mkuu?Kwani watu waliohusika hawawezi kukamatwa
Hao wote uliowataja corona ndio imewaondoa msitafute mchawiKuna ukakasi, Ben Mkapa, Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mahiga inner cycle yote.
Sera ya wasaidizi wake wa karibu, kuponda kila kitu, kumtukana,kumdhalilisha na kuonyesha kwamba kila kitu alichofanya kilikuwa kibaya inashangaza wakati walikuwa na kuamua pamoja.