Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Sasa kama magufuli na samia wanatekeleza ilani moja ni kipi kinachowafanya muone marehemu alifanya kazi kubwa kumzidi samia? Muachage unafiki watanzaniaMingi tu mkuu. Hakujenga barabara peke yake kajenga madaraja makubwa kama lile la Busisi.
Inabidi uniambie tofauti ya Kikwete na Magufuli wakiwa wanatekeleza ilani moja CCM, ubinafsi na chuki zetu zinatufanya tushindwe kuuelewa ukweli huo. Ni sawa umtofautishe Mama Samia na JPM wakati wanatekeleza ilani ile ile ya chama kile kile.