Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Mingi tu mkuu. Hakujenga barabara peke yake kajenga madaraja makubwa kama lile la Busisi.

Inabidi uniambie tofauti ya Kikwete na Magufuli wakiwa wanatekeleza ilani moja CCM, ubinafsi na chuki zetu zinatufanya tushindwe kuuelewa ukweli huo. Ni sawa umtofautishe Mama Samia na JPM wakati wanatekeleza ilani ile ile ya chama kile kile.
Sasa kama magufuli na samia wanatekeleza ilani moja ni kipi kinachowafanya muone marehemu alifanya kazi kubwa kumzidi samia? Muachage unafiki watanzania
 
Huwezi kubadilisha legacy ya Magufuli kwa hizi propaganda zako za kinafiki zilizotengenezwa kwa chuki kwa kugeuza ukweli kuwa uwongo
Propaganda zipi? Lisu hakupigwa risasi 38 na dunia nzima ikiona hapo kuna uwongo.nyie watu mna funza Kwenye bongo zenu siyo bure
 
Kweli kwa sababu hatotoke mtu ataka sema kama hukuchagua mbunge wa ccm sitoleta maendeleo na kumwa mbia spika ww wafukuze huko bungeni wakija njee mm nitashuhulika nao
Haya majamaa yanayomkumbuka magufuli mapumbavu sana.
 
Nimeupenda Sana ukweli wako, kwa gu Mimi Magufuli ndio Bora kuliko wote waliopita na waliopo Nina hakika hata wajao...rest easy Mr President
Mfuateni kule kule akawaongoze mfikie upeo kwa maendeleo ya kule. Maana mnaanza kumkufuru Mungu sasa.
 
Unafikiri Dr Ulimboka ataona alichofanyiwa na Kikwete ni kidogo sana ukilinganisha na Lissu?
Wewe kwa mtazamo wako alichofanyiwa ulimboka na alichofanyiwa Lissu ni mambo yanayokupendeza?
 
Habari za kufananisha unazileta wewe na hata sijui zimeingiaje, mi nimesema tu hata Mungu wapo kibao tu wasiompenda na huo ni ukweli na huyo ndio Mungu.
Mungu hafananishwi huo mfano wako ni invalid
 
Pole sana mkuu, Binafsi Magufuli naamini ndiye Rais bora ambae aliiwaza Tanzannia ya miaka 2050, Magufuli alikuwa kiongozi sema Watanzania wengi wanataka wanasiasa.

Hii picha hapa chini iko ndani kwangu tena chumbani kwangu!

View attachment 1991351
Wewe bwege kweli unaweka picha peke yake chumbani badala ya kuchapisha hiyo picha kwenye mashuka na chupi zako na vikombe vya chai ili umkumbuke vizuri.
 
Nawaza familiya yake wana hali gani. Alivyokiwa akisema mmuombee lizani anatania yule baba kapita pabovu mno, mara nini mara kile mara atumiwe moshi dah
Pelekeni imani za kishirikina mbele huko.magufuli amekufa kwa kuieletea dharau Corona yeye na wasaidizi wake wamekufa kwa ubishi wa kijinga.
 
Wewe kwa mtazamo wako alichofanyiwa ulimboka na alichofanyiwa Lissu ni mambo yanayokupendeza?
Sasa yanipendeze kwa lipi? muhimu hapa ni kwamba kwenye kila utawala lazima tu kuna watu watashughulikiwa kama akina Ulimboka na Lissu.
 
Nani kakwambia Mungu anaipenda CCM?. CCM haijawahi kushinda uchaguzi hao CCM ni mawakala wa shetani.
Sasa kama Mungu alimuondoa Magufuli kutokana na maombi ya watu iweje asiondoe na ccm ambayo chanzo cha matatizo yote hata huyo Magufuli kapatikana kwa sababu ya ccm?
Kabla ya Magufuli watu wamekuwa wakiomba ccm ing'oke ila hadi leo ipo.
 
Kuna ukakasi, Ben Mkapa, Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mahiga inner cycle yote.

Sera ya wasaidizi wake wa karibu, kuponda kila kitu, kumtukana,kumdhalilisha na kuonyesha kwamba kila kitu alichofanya kilikuwa kibaya inashangaza wakati walikuwa na kuamua pamoja.
Hao wote uliowataja corona ndio imewaondoa msitafute mchawi
 
Back
Top Bottom