Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huyu alikuwa anatamani kuuwa tu muda wote.Utakuwa upo mbali sana kutoka usawa wa nchi, mbona huku ndani sasa hata tuliokua tunajua kumbe ilikuwa wajinga wa kutupwa. (Nchi hii haijawahi kuwa na mwizi, tapeli, laghai, muongo, na katili wa mfano wake)
Kufa umfuate huyo mungu wenu wa kikabilaHayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Rais wa kabla yake na aliyeko una uhakika hawana ( hawakuwa ) na hizi Sifa?Utakuwa upo mbali sana kutoka usawa wa nchi, mbona huku ndani sasa hata tuliokua tunajua kumbe ilikuwa wajinga wa kutupwa. (Nchi hii haijawahi kuwa na mwizi, tapeli, laghai, muongo, na katili wa mfano wake)
Elewa kitu nimejaribu kukujuza ni kwamba, haijafahamika kabla na watu kama wewe na mfano wenu, kuwa Magufuli ndie rais pekee alie kuja na akawa laghai, mwizi, muongo, katili na mwenye kujilimbikiazia mali kuliko wote waliowahi kutokea hapa tz kwa sasa.Rais wa kabla yake na aliyeko una uhakika hawana ( hawakuwa ) na hizi Sifa?
Halafu akawadanganya misukule yake kwamba Tanzania ni tajiri na tunajenga kwa pesa za ndani.😄😄JPM kama JPM alikua na mapungufu yake kama binadamu wengine,lakini tukirudi kwenye kazi,jamaa alikua anajua kazi!
Tatizo wabongo tulizoea kuishi kwa janja janja nyingi sana! Mtu huna kazi,lakini asubuhi na mapema ushaniga mkanda nje,tai na shati jeupe unaenda zako posta kupiga misheni town! Alisimamia nidhani kwa watumishi wa umaa,majambazi yalipotea kabisa,Madawa yakulevya yalianza kuwa ndoto,miradi mikubwa ilikua inaenda kwa kasi sana! RIP JPM
Kwangu Mimi Marais wazuri, makini, werevu na Wachapakazi niliowahi kuwapenda na nawalilia sana na 24/7 ni Watatu tu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Mkapa na Hayati Dkt. Magufuli wengine walijitahidi / wanajitahidi ila waliharibu na wanaharibu zaidi.JPM kama JPM alikua na mapungufu yake kama binadamu wengine,lakini tukirudi kwenye kazi,jamaa alikua anajua kazi!
Tatizo wabongo tulizoea kuishi kwa janja janja nyingi sana! Mtu huna kazi,lakini asubuhi na mapema ushaniga mkanda nje,tai na shati jeupe unaenda zako posta kupiga misheni town! Alisimamia nidhani kwa watumishi wa umaa,majambazi yalipotea kabisa,Madawa yakulevya yalianza kuwa ndoto,miradi mikubwa ilikua inaenda kwa kasi sana! RIP JPM
Big up for this piece of precise vision and opinion [emoji2936][emoji2935]Pimeni mambo vizuri. Ukisema magu ni mbaya lazima kuna utayesema ni mzuri. Na ukisema magu ni mzuri kuna unayemini ni mbaya.
Uzuri ni nini na ubaya ni nini?
Ukija na orodha ya mambo mazuri, mwingine ataorodhesha mabaya.
Msifike mahali kusema mtu ni malaika, hii kufuru.
Binadamu hawezi kuwa mzuri tu au mbaya tu kwa watu wote wakati wote.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Kweli ni mkombozi hasa maana mpaka dunia itaisha hatutosikia tena mtu kupigwa risasi 36 na kunyimwa matibabu na kufukuzwa ubunge huyu ndie aliye kua mkombozi wa nchi ambae hapeleki maendeleo kwenye jimbo la wapinzaniTanzania tumeondokewa na Mkombozi.
Acha unafiki jamaa kweli umelia sana??Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Kwa hiyo hakufariki tarehe 17/03/2021Tangu mwaka uanze nahisi huu ni uzi wako wa maana kuliko zote.
Anyway binafsi jpm nillikuwa namkubali kawaida tu hasa nikiwa sehemu ya changanyikeni kama humu, nilikuwa simchukii kama wengine, kuna vitu alikuwa akifanya nasema huyu kweli rais hata kama sisem ila moyoni nasema hili jembe.
Siku niliposikia habari za kifo chake trh 9 nilisikia maumivu ambayo sikujua yametoka wapi.
Miliogopa hata kumwambia mtu yeyote maana alienihakikishia kafa alinitaka nifunge mdomo wangu.
Nilikuwa nikiingia humu nakuta watu wanachangia nyuzi kibao eti jpm yupo wapi na mimi najilazimisha kuchangia as if sijui kinachoendekea.
Pili moyo haukuamini nilichoambiwa nikawa akisemea ' huyu mbwa nae mwongo jpm atakufaje kizembe hivi?
Siku moja nikataka kumwambia mama yangu moyo ukasema hapana yupo hai yule fala mzushi.
Trh 17 usiku nikaota eti kafa nikastuka usingizini nikajisemea hapana ni nawazo yaliyo kichwani mwangu coz nishapewa hiyo habari wiki moja kabla.
Niliamka nikapiga magoti nikasali mikasema hii ndoto isiwe kweli, nikaingia jf nikakuta mtu kapost eti kwa nini wasitangaze tu rais kashakufa kha! Ndo niliamini yale maneno.
Baada ya kutangaza nilipata maumivu ambayo sikujua yametoka wapi, maana niliona Tanzania ambayo jpm alikuwa akiitengeneza ikiyeyuka.
Niliona ujinga ukirudi kwa kasi, wizi, miradi yake ikifa, nidham ya watumishi ikirudi 0, ufisadi nje nje , majambazi wakirudi kwa kazi, unyanyasaji wa wanyonge, viongozi kula mishahara ya bure,kupewa kazi kwa kujuana, vyeti feki,
Nikaona lile genge sugu la majambazi wanaotesa nchi wakifurahia kifo chake, nililia sana nikasema Mungu alitupa malaika ila wengi tulichukulia poa.
Huko ulipo jpm ulale salama, hakuna siku imepita bila kukukumbuka. Binafsi nimekumiss sana.
Rip jpm.
Tokea afe Umekuwa Tajiri au Shida na Dhiki zako zimeongezeka maradufu? Nitashukuru ukinijibu haraka tafadhali.Kwangu mimi JPM JPM alikuwa rais muuaji, mwenye chuki kali sana kwa wanamkosoa na kumpinga, mbinafsi aliyepitiliza kiwango cha kawaida na mungu mtu aliyependa kusujudiwa mpaka na nzi. MUNGU AMEWATENDEA HAKI WATANZANIA.
Muulize Yule Mpare wa Oysterbay Makao na Yule Msukuma wa Upanga Makao kisha malizia na Daktari wake, Bibi Mmoja wa Kisiwani na Mswahili wa Pwani na Manesi Wawili wa Mzena.Alikufa katika mazingira gani?
Vp kuhusu waliomchapa Lissu risasi unataka aje nao ama? Kuna wale wasiojulikana, aisee Mungu fundi sanaHayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Nchi masikini na ya wavivu, wezi wa mali za umma, wanafiki na wahafidhina inahitaji mtu wa calibre yake. Tumezoea kubembelezana kwa kivuli cha demokrasia, upumbavu wa hali ya juu huu.Nakubaliana nawe tena 200% kabisa Mkuu. Nimechukua muda Kurejea 'Video' zake na Kugundua ya kwamba Mwenyezi Mungu alitupa Zawadi ya Thamani Hayati Rais Dkt. Magufuli na akaichukua mapema baada ya Kutuona Watanzania hatujamshukuru na Kuishukuru pia.
Hata Machozi yalinitoka sana tu Mkuu.
Huyo Jamaa namchukia na kibaya tena ni Shabiki wa Klabu nisiyoipenda duniani kote ya Yanga.Wewe acha tu nakumbuka mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa mtu akitenda ubaya sura yake uwa inaongea. Siku ya mazishi ya JPM nimwona mmoja wao akijikanyaga na hotuba uchwala anauma midomo nikamwangalia nikajisemea kimoyoni kwamba " huyu "
Kwamba wahafidhina walimuua?Na bado hujalia siku ukipata mtu wa karibu nae akakusimilia kifo chake, utaenda chato mwenyewe kuona hata kaburi yake.
Siumii kwa nini amekufa maana kila mtu ataonja kaburi, kinachoniuma ni yale mazingira alokufa.
Mkuu kuwa mkweli, kwenye haya uliyoyaorodhesha ni lipi ambalo halikuwa tabia ya Jiwe? Bila kumwonea wala kumpendeleaKama ulikuwa na tabia za wizi,utapeli na kuishi kwa ujanja ujanja mjini hakuna jema la Hayati JPM utakaloliona.
Mimi nilivyomuona akiwekwa kwenye ambulance moyo ulikataa kabisa, aendelee kupumzika kwa amani shujaa wa Afrika.Tangu mwaka uanze nahisi huu ni uzi wako wa maana kuliko zote.