Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Utakuwa upo mbali sana kutoka usawa wa nchi, mbona huku ndani sasa hata tuliokua tunajua kumbe ilikuwa wajinga wa kutupwa. (Nchi hii haijawahi kuwa na mwizi, tapeli, laghai, muongo, na katili wa mfano wake)
Huyu alikuwa anatamani kuuwa tu muda wote.

IMG_20211028_135238_003.jpg
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Kufa umfuate huyo mungu wenu wa kikabila
 
Utakuwa upo mbali sana kutoka usawa wa nchi, mbona huku ndani sasa hata tuliokua tunajua kumbe ilikuwa wajinga wa kutupwa. (Nchi hii haijawahi kuwa na mwizi, tapeli, laghai, muongo, na katili wa mfano wake)
Rais wa kabla yake na aliyeko una uhakika hawana ( hawakuwa ) na hizi Sifa?
 
Elewa kitu nimejaribu kukujuza ni kwamba, haijafahamika kabla na watu kama wewe na mfano wenu, kuwa Magufuli ndie rais pekee alie kuja na akawa laghai, mwizi, muongo, katili na mwenye kujilimbikiazia mali kuliko wote waliowahi kutokea hapa tz kwa sasa.
 
JPM kama JPM alikua na mapungufu yake kama binadamu wengine,lakini tukirudi kwenye kazi,jamaa alikua anajua kazi!

Tatizo wabongo tulizoea kuishi kwa janja janja nyingi sana! Mtu huna kazi,lakini asubuhi na mapema ushaniga mkanda nje,tai na shati jeupe unaenda zako posta kupiga misheni town! Alisimamia nidhani kwa watumishi wa umaa,majambazi yalipotea kabisa,Madawa yakulevya yalianza kuwa ndoto,miradi mikubwa ilikua inaenda kwa kasi sana! RIP JPM
Halafu akawadanganya misukule yake kwamba Tanzania ni tajiri na tunajenga kwa pesa za ndani.😄😄

Kuja kuutamaki deni la Taifa ni tirrion 78 shubaamiti.😜😜
 
JPM kama JPM alikua na mapungufu yake kama binadamu wengine,lakini tukirudi kwenye kazi,jamaa alikua anajua kazi!

Tatizo wabongo tulizoea kuishi kwa janja janja nyingi sana! Mtu huna kazi,lakini asubuhi na mapema ushaniga mkanda nje,tai na shati jeupe unaenda zako posta kupiga misheni town! Alisimamia nidhani kwa watumishi wa umaa,majambazi yalipotea kabisa,Madawa yakulevya yalianza kuwa ndoto,miradi mikubwa ilikua inaenda kwa kasi sana! RIP JPM
Kwangu Mimi Marais wazuri, makini, werevu na Wachapakazi niliowahi kuwapenda na nawalilia sana na 24/7 ni Watatu tu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Mkapa na Hayati Dkt. Magufuli wengine walijitahidi / wanajitahidi ila waliharibu na wanaharibu zaidi.
 
Pimeni mambo vizuri. Ukisema magu ni mbaya lazima kuna utayesema ni mzuri. Na ukisema magu ni mzuri kuna unayemini ni mbaya.
Uzuri ni nini na ubaya ni nini?
Ukija na orodha ya mambo mazuri, mwingine ataorodhesha mabaya.
Msifike mahali kusema mtu ni malaika, hii kufuru.
Binadamu hawezi kuwa mzuri tu au mbaya tu kwa watu wote wakati wote.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Big up for this piece of precise vision and opinion [emoji2936][emoji2935]
 
Tanzania tumeondokewa na Mkombozi.
Kweli ni mkombozi hasa maana mpaka dunia itaisha hatutosikia tena mtu kupigwa risasi 36 na kunyimwa matibabu na kufukuzwa ubunge huyu ndie aliye kua mkombozi wa nchi ambae hapeleki maendeleo kwenye jimbo la wapinzani
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Acha unafiki jamaa kweli umelia sana??
Acha kutuchuria maisha yanaendelea nawatu tuko gado hatuliilii tunapiga kazi.
Endelea kumlilia usitusumbue tunafatilia walioteswa ili wawehuru na wawehuru kwelikweli.
Wapo walopotea (saanane)
waliopigwa risasi (lisu),
waliofungwa isivyo halali (rugemalila),
walioumizwa vibaya,walokimbia nchi,walopoteza wazazi/wenza walipofungwa,waliofilisiwa,waliofukuzwa kiholela,waliosababishiwa madeni makubwa,waliotukanwa na kutishwa,waliotishiwa kuuawa,waliotengwa kimaendeleo,walonyimwa ushindi nkSORRYMungu atuepushie haya yasijurudie site tuseme
"NEVER AGAIN IN SOBIBOR OOH SORRY IN TANZANIA
 
Tangu mwaka uanze nahisi huu ni uzi wako wa maana kuliko zote.

Anyway binafsi jpm nillikuwa namkubali kawaida tu hasa nikiwa sehemu ya changanyikeni kama humu, nilikuwa simchukii kama wengine, kuna vitu alikuwa akifanya nasema huyu kweli rais hata kama sisem ila moyoni nasema hili jembe.

Siku niliposikia habari za kifo chake trh 9 nilisikia maumivu ambayo sikujua yametoka wapi.

Miliogopa hata kumwambia mtu yeyote maana alienihakikishia kafa alinitaka nifunge mdomo wangu.
Nilikuwa nikiingia humu nakuta watu wanachangia nyuzi kibao eti jpm yupo wapi na mimi najilazimisha kuchangia as if sijui kinachoendekea.
Pili moyo haukuamini nilichoambiwa nikawa akisemea ' huyu mbwa nae mwongo jpm atakufaje kizembe hivi?

Siku moja nikataka kumwambia mama yangu moyo ukasema hapana yupo hai yule fala mzushi.
Trh 17 usiku nikaota eti kafa nikastuka usingizini nikajisemea hapana ni nawazo yaliyo kichwani mwangu coz nishapewa hiyo habari wiki moja kabla.
Niliamka nikapiga magoti nikasali mikasema hii ndoto isiwe kweli, nikaingia jf nikakuta mtu kapost eti kwa nini wasitangaze tu rais kashakufa kha! Ndo niliamini yale maneno.

Baada ya kutangaza nilipata maumivu ambayo sikujua yametoka wapi, maana niliona Tanzania ambayo jpm alikuwa akiitengeneza ikiyeyuka.

Niliona ujinga ukirudi kwa kasi, wizi, miradi yake ikifa, nidham ya watumishi ikirudi 0, ufisadi nje nje , majambazi wakirudi kwa kazi, unyanyasaji wa wanyonge, viongozi kula mishahara ya bure,kupewa kazi kwa kujuana, vyeti feki,
Nikaona lile genge sugu la majambazi wanaotesa nchi wakifurahia kifo chake, nililia sana nikasema Mungu alitupa malaika ila wengi tulichukulia poa.
Huko ulipo jpm ulale salama, hakuna siku imepita bila kukukumbuka. Binafsi nimekumiss sana.

Rip jpm.
Kwa hiyo hakufariki tarehe 17/03/2021
 
Kumpenda mtu siyo lqza awe mtu mzuri au awe alifanya mazuri, bali ni namna matwkwa yako yanavyokutuma.

Lakini nina uhakika mtu kama Tundu Lisu, ndugu na jamaa wa Ben Sanane, Azory, Kanguye, na wale waliobambikiwa kesi za uhujumu uchumi, madawa ya kulevya, utakatishaji fedha, na wale wote wanaothamini uhai na maisha ya binadamu, hawataacha kumkumbuka marehemu kama mtu mbaya kuliko wote maana hakuna aliyewahi kuwafanyia uovu kama huo katika maisha yao yote.

Binadamu tunatofautiana, wapo wakipewa nafasi wajengewe nyumba ila ndugu yao auawe, watakubali. Lakini wapo watakaosema aheri waishi kwenye kibanda kuliko ndugu yao kufa. Kwao uhai na heshima ya mwanadamu inazidi vitu vyote.
 
Kwangu mimi JPM JPM alikuwa rais muuaji, mwenye chuki kali sana kwa wanamkosoa na kumpinga, mbinafsi aliyepitiliza kiwango cha kawaida na mungu mtu aliyependa kusujudiwa mpaka na nzi. MUNGU AMEWATENDEA HAKI WATANZANIA.
Tokea afe Umekuwa Tajiri au Shida na Dhiki zako zimeongezeka maradufu? Nitashukuru ukinijibu haraka tafadhali.
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Vp kuhusu waliomchapa Lissu risasi unataka aje nao ama? Kuna wale wasiojulikana, aisee Mungu fundi sana
 
Nakubaliana nawe tena 200% kabisa Mkuu. Nimechukua muda Kurejea 'Video' zake na Kugundua ya kwamba Mwenyezi Mungu alitupa Zawadi ya Thamani Hayati Rais Dkt. Magufuli na akaichukua mapema baada ya Kutuona Watanzania hatujamshukuru na Kuishukuru pia.

Hata Machozi yalinitoka sana tu Mkuu.
Nchi masikini na ya wavivu, wezi wa mali za umma, wanafiki na wahafidhina inahitaji mtu wa calibre yake. Tumezoea kubembelezana kwa kivuli cha demokrasia, upumbavu wa hali ya juu huu.

Nilikuwa namkubali sana, natamani niwe hata nusu ya tabia zake, ukiwa vile unachukiwa sana na wapumbavu wasiojielewa tu.

Ataishi kwangu miaka mingi sana.
 
Wewe acha tu nakumbuka mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa mtu akitenda ubaya sura yake uwa inaongea. Siku ya mazishi ya JPM nimwona mmoja wao akijikanyaga na hotuba uchwala anauma midomo nikamwangalia nikajisemea kimoyoni kwamba " huyu "
Huyo Jamaa namchukia na kibaya tena ni Shabiki wa Klabu nisiyoipenda duniani kote ya Yanga.
 
Na bado hujalia siku ukipata mtu wa karibu nae akakusimilia kifo chake, utaenda chato mwenyewe kuona hata kaburi yake.

Siumii kwa nini amekufa maana kila mtu ataonja kaburi, kinachoniuma ni yale mazingira alokufa.
Kwamba wahafidhina walimuua?
 
Kama ulikuwa na tabia za wizi,utapeli na kuishi kwa ujanja ujanja mjini hakuna jema la Hayati JPM utakaloliona.
Mkuu kuwa mkweli, kwenye haya uliyoyaorodhesha ni lipi ambalo halikuwa tabia ya Jiwe? Bila kumwonea wala kumpendelea
 
Ulileta faraja hata kama mifuko yetu ilikuwa mitupu, maskini alicheka kwa furaha.

Uliyekuwa naye pembeni mwa meza yake ndiye mmiliki wa KIGOGO, na rafiki wa Mange Kimambi.

Sasa hivi mshauri wake wa covid-19 ni Tony Blair, kama nchi inauzwa vile. Ila hatuelewi.

Rest in peace Hayati John Magufuli 🥲
 
Tangu mwaka uanze nahisi huu ni uzi wako wa maana kuliko zote.

Anyway binafsi jpm nillikuwa namkubali kawaida tu hasa nikiwa sehemu ya changanyikeni kama humu, nilikuwa simchukii kama wengine, kuna vitu alikuwa akifanya nasema huyu kweli rais hata kama sisem ila moyoni nasema hili jembe.

Siku niliposikia habari za kifo chake trh 9 nilisikia maumivu ambayo sikujua yametoka wapi.

Miliogopa hata kumwambia mtu yeyote maana alienihakikishia kafa alinitaka nifunge mdomo wangu.
Nilikuwa nikiingia humu nakuta watu wanachangia nyuzi kibao eti jpm yupo wapi na mimi najilazimisha kuchangia as if sijui kinachoendekea.
Pili moyo haukuamini nilichoambiwa nikawa akisemea ' huyu mbwa nae mwongo jpm atakufaje kizembe hivi?

Siku moja nikataka kumwambia mama yangu moyo ukasema hapana yupo hai yule fala mzushi.
Trh 17 usiku nikaota eti kafa nikastuka usingizini nikajisemea hapana ni nawazo yaliyo kichwani mwangu coz nishapewa hiyo habari wiki moja kabla.
Niliamka nikapiga magoti nikasali mikasema hii ndoto isiwe kweli, nikaingia jf nikakuta mtu kapost eti kwa nini wasitangaze tu rais kashakufa kha! Ndo niliamini yale maneno.

Baada ya kutangaza nilipata maumivu ambayo sikujua yametoka wapi, maana niliona Tanzania ambayo jpm alikuwa akiitengeneza ikiyeyuka.

Niliona ujinga ukirudi kwa kasi, wizi, miradi yake ikifa, nidham ya watumishi ikirudi 0, ufisadi nje nje , majambazi wakirudi kwa kazi, unyanyasaji wa wanyonge, viongozi kula mishahara ya bure,kupewa kazi kwa kujuana, vyeti feki,
Nikaona lile genge sugu la majambazi wanaotesa nchi wakifurahia kifo chake, nililia sana nikasema Mungu alitupa malaika ila wengi tulichukulia poa.
Huko ulipo jpm ulale salama, hakuna siku imepita bila kukukumbuka. Binafsi nimekumiss sana.

Rip jpm.
Mimi nilivyomuona akiwekwa kwenye ambulance moyo ulikataa kabisa, aendelee kupumzika kwa amani shujaa wa Afrika.
 
Back
Top Bottom