Sifa za kulea Majangili akina Sabaya ?Accusations zisizo na vithibitisho zipo tokea enzi za kambarage, unfortunately hazijawahi kufuta kumbukumbu nzuri walonazo watu kwa viongozi majemedari.
So, itabidi mvumilie sifa watakazomwagiwa mpaka mtakapokufa.
Unataka Kumfananisha Magufuli na Yesu ?punguza chuki mkuu, yesu pia alikua na wanafunzi wao je, uovu wao ulifuta credibility yake?
sijawafananisha bt nimelinganisha ulichoandikaUnataka Kumfananisha Magufuli na Yesu ?
Acha Kumfananisha Mwokozi wa Ulimwengu na Binadamu
kumchukia mtu ni mtizamo binafsi hilo sikuingilii bt nataka tu unambie ni rais gani tanzania katika utawala wake watu hawakutekwa, kupigwa risasi, uchaguzi kuharibiwa na nk... ?Ulishuhudia Kupotezwa Ben Saanane, Kutekwa Kwa Roma Mkatoliki, Kupigwa risasi Akwilina, uchaguzi Mkuu kuharibiwa kabisa, Kuibuka Kwa Magenge ya wahuni Kama vile Sabaya, Musiba, Bashite, Mashimo n.k
GENTAMYCINE[emoji120]
2025 SSH 5tena[emoji871][emoji871][emoji871]
Mungu aepushie mbali kabisa kutokea mtu kama huyo.Itachukua miaka mingi kumpata kama JPM.
Nchi ilikombolewa tangu 09.12.1961! Ukombozi gani unaousema alioleta Hayati Magu?Tanzania tumeondokewa na Mkombozi.
Haviendani kabisasijawafananisha bt nimelinganisha ulichoandika
Sahihi kabisa, Ma Sadist bado tunao wengi sanaUmasikini ni mbaya sana maana hata watu wengi wenye roho mbaya ni wale masikini japo hata wenye uwezo wapo wenye roho mbaya,
Nimegundua kulikuwa na watu waliokuwa wakifurahia dhuluma kwa wengine kama kuuawa,kutekwa,kuteswa,kuporwa fedha na mali zao kwa sababu tu waliona umasikini wao umesababishwa na hao wachache waliofanikiwa hivyo walifurahi sana kuteswa kwa hao watu. Walifurahia pia hata baadhi ya watumishi kudhalilishwa na viongozi wachache waliokuwa wakimtumikia shetani.
Hayo yote yalisababishwa na roho mbaya ya umasikini lakini sasa baada ya mambo kubadilika kuna watu wanaumia kwanini sasa viongozi hawafanyi dhuluma na kudhalilisha watu.
Hawa ndio wale wanaolaumu na kuubeza utawala wa sasa kila kukicha.
haya nitajie rais wa tanzania ambae hajaua katika utawala wake, ambae hajawatesa wanaomkosoa ili nijue kama husumbuliwi na chuki binafsiKwangu mimi JPM JPM alikuwa rais muuaji, mwenye chuki kali sana kwa wanamkosoa na kumpinga, mbinafsi aliyepitiliza kiwango cha kawaida na mungu mtu aliyependa kusujudiwa mpaka na nzi. MUNGU AMEWATENDEA HAKI WATANZANIA.
Huyu Ibilisi wenu alizidikumchukia mtu ni mtizamo binafsi hilo sikuingilii bt nataka tu unambie ni rais gani tanzania katika utawala wake watu hawakutekwa, kupigwa risasi, uchaguzi kuharibiwa na nk... ?
Mungu hawezi kuruhusu huo Ushetani MkuuItachukua miaka mingi kumpata kama JPM.
Wote Mashetanihaya nitajie rais wa tanzania ambae hajaua katika utawala wake, ambae hajawatesa wanaomkosoa ili nijue kama husumbuliwi na chuki binafsi
unasumbuliwa na chuki binafsi mkuuHuyu Ibilisi wenu alizidi
Mwamba...Kwani nini kimetokea jamani???si tulifunga mjadala humu kwamba alikuwa dikiteta!¡!!
Imekuwaje tena
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1991339
Naam ulishuudia yote ayo ata kuuwawa kwa Chacha Wangwe nilishuhudia pia.Ulishuhudia Kupotezwa Ben Saanane, Kutekwa Kwa Roma Mkatoliki, Kupigwa risasi Akwilina, uchaguzi Mkuu kuharibiwa kabisa, Kuibuka Kwa Magenge ya wahuni Kama vile Sabaya, Musiba, Bashite, Mashimo n.k
Kama kweli Mbowe alimuua Chacha Wangwe basi lazima alikuwa na ushirika na serikali na CCM. Hakuna namna angeachwa hivi hivi mpaka leo wanahangaika naye kwa kesi ya ugaidi. Sio Tanzania hii tunayoijua.Mliwahi kumuuliza Mbowe kuhusu kifo cha Chacha Wangwe. Je ulishawahi kungalia upande wa pili wa shilling? Siku mkija kuujua ukweli mtashangaa