Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Issue sio uchi wake..issue kubwa ni kukatika mauno uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo.
Sasa kuna shida gani ?

Kwani anapata dhambi ?

Kama anakufanyia mazoezi jee ?
 
Kwani kunakigeni kwa huyo mke wako
 
Unaishi na chizi. Hili ndiyo jibu sahihi.
 
Anamtuma clip kwa jamaa yake
 
Sasa mkuu maufundi yote anayokupa unadhani amekua malaika au? Mtt kila siku anazidi mautundu on bed unadhani anayajulia wapi? Unatoka mtoko na wyf somewhere unakuta anaicheza sukari kuliko Zuchu mwnyw, kila aina ya uchezaji anaijua na hujawahi mlipia popote kwa ajili ya mafunzo mkuu bdo huwi na walakini? Sio wanawake tu unakutana mzee mtu mzima na heshima zake na kitambi juu hujawahi thubutu ukimuona anacheza ila siku ukimuachia jukwaa anayarudi mayenu si mchezo unadhani ye ni alien? Itoshe kusema tu ni jambo la kawaida itakua ni hatari endapo tu atakua na mchezo wa kujirekodi ila kinyume chake ungempatia na zawadi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…