Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee hapo fikia kwa majirani kabla ya kugonga mlango kwa wakweKama dalili zipi?na jee hata wakwe nisiwadokeze ujio wangu?
Kwanza upo uwezekano akawa anataarifa za kutosha kuhusu tabia yako fulani mbaya hakukwambia kwakuwa alikuwa hana ushahidi ila alikuwa na uhakika. Pili karipoti polisi ndani ya saa ishirini na nne. Tatu kama unakosa usingizi kunywa waini vinginevyo utakufa ghafla.Nafanya kazi mbali na ninapoishi kwa hiyo huwa ninalala huko ninakofanyia kazi ambako nimepanga chumba cha dharula.Siku ya jtano wiki hii niliagana na mke wangu kuwa naelekea kazini na nitarudi siku ya alhamisi au ijumaa akaitikia na tukaagana vizuri. Mshtuko wa moyo nilioupata ni pale nilipojisikia kurudi siku ya pili yake yaani alhamisi baada ya kugonga mlango kwa muda bila majibu nikaamua niulize jirani aliko mke wangu,najibiwa jana ulipoondoka mkeo nae kasafiri ila funguo hizi hapa..!.Nilihisi kuishiwa nguvu lakini nilijikaza nikachukua ufunguo taratibu nikaingia ndani kiukweli sijaamini macho yangu hakukua na kitu chake hata kimoja zaidi ya kuniachia picha za ndoa. Nimeumia sana na huo ulikuwa mwisho wa kupata usingizi hadi sasa. Nimempigia simu lakini haipatkani,ndugu zake hawajui yuko wapi ila leo hii jumamosi mpangaji mmoja kanionea huruma kaniambia aliongea na mke wangu siku ya alhamisi jioni na alimfahamisha kuwa anakaribia kufika kwao Chamwino Dodoma akitokea kwetu Mtwara. Lakini kwao nikiuliza naambiwa haonekani na simu hapatikani,sijui cha kufanya kwani ni mke wangu wa ndoa lakini amenitoroka. Naombeni mnishauri nini nifanye kwa kuwa suala hili limevuruga kichwa changu. Mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa jioni alhamisi kwa kumsms kupitia private Facebook nikamuuliza uko wapi? Akanijibu kwa kifupi "my lovely husband ".Mpaka sasa simpati kwa simu.
Mbona kama ww unajua sababu. Mke yaani mke ameondoka tu kurudi kwao kweli?? Hpn boss unajua sababuNafanya kazi mbali na ninapoishi kwa hiyo huwa ninalala huko ninakofanyia kazi ambako nimepanga chumba cha dharula.Siku ya jtano wiki hii niliagana na mke wangu kuwa naelekea kazini na nitarudi siku ya alhamisi au ijumaa akaitikia na tukaagana vizuri. Mshtuko wa moyo nilioupata ni pale nilipojisikia kurudi siku ya pili yake yaani alhamisi baada ya kugonga mlango kwa muda bila majibu nikaamua niulize jirani aliko mke wangu,najibiwa jana ulipoondoka mkeo nae kasafiri ila funguo hizi hapa..!.Nilihisi kuishiwa nguvu lakini nilijikaza nikachukua ufunguo taratibu nikaingia ndani kiukweli sijaamini macho yangu hakukua na kitu chake hata kimoja zaidi ya kuniachia picha za ndoa. Nimeumia sana na huo ulikuwa mwisho wa kupata usingizi hadi sasa. Nimempigia simu lakini haipatkani,ndugu zake hawajui yuko wapi ila leo hii jumamosi mpangaji mmoja kanionea huruma kaniambia aliongea na mke wangu siku ya alhamisi jioni na alimfahamisha kuwa anakaribia kufika kwao Chamwino Dodoma akitokea kwetu Mtwara. Lakini kwao nikiuliza naambiwa haonekani na simu hapatikani,sijui cha kufanya kwani ni mke wangu wa ndoa lakini amenitoroka. Naombeni mnishauri nini nifanye kwa kuwa suala hili limevuruga kichwa changu. Mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa jioni alhamisi kwa kumsms kupitia private Facebook nikamuuliza uko wapi? Akanijibu kwa kifupi "my lovely husband ".Mpaka sasa simpati kwa simu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naww nenda kwenu
Poleeee mwamba amesha endelea na mwenzie wa idodomyaHapana mimi ni mtu wa kusini hapa Mtwara