Nimerudisha imani kwa CHADEMA, nimerudisha imani kwa Mbowe, watanzania tuamke hii sasa inatosha

Nimemsikiliza Mh mbowe kwa umakini sana, awali ya yote nisamehewe kwani kuna wakati nilihoji na kuponda maamuzi ya mbowe nikidhani ni 'mlamba asali'

Yameongelewa mengi kuhusiana na mkataba wa Bandari na kampuni ya DP world, lakini maswali matatu ambayo mpaka sasa yamekosa majibu yamenifikirisha sana. Maswali hayo ni

1. Ni muda gani mkataba utadumu (duration)
2. Kwanini bandari za zanzibar hazijaguswa?
3. Hyo kampuni itawekeza kiasi gani? Na nini nchi itapata?

Ndugu zangu, kumbe mkataba huu umevujishwa kwa siri na wazalendo, lakini pia umepelekwa bungeni kujadiliwa tu na kupitishwa. Hakuna kitu kingine wabunge wanaweza kufanya.

Ndani ya nchi yetu kumewahi kushuhudiwa mikataba ya hovyo kama ile ya
A) Kagoda
B) Escrow
C) Buzwagi nk. Lakini mkataba huu ndio wa hovyo na hatari zaidi, kwani hauna kikomo!

Ndugu zangu, ni kweli watanzania wengi tuna njaa, lakini kuna wakati njaa zikae pembeni tuokoe vizazi vijavyo.

Wengi hawajui kua kampuni hii inamilikiwa na nchi za UAE (state owned) sasa sie Tanzania tunashindwa nini kuunda kampuni itakayosimamia bandari zetu.? Keanini tusiunde kampuni ambayo itatoka nje ya Tz kufanya biashara kama zilivyo kampuni za Dp word, au ile ya Arabs contractors? Ni kipi ambacho Tanzania tunakosa?

Sina lengo baya, ila inawezekana kwa sasa tuna uongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
Though a bit too late lakini umefanya uungwana kumuomba radhi mwamba.. Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe na genge lake ni wapuuzi wamehusika sana kuharibu nchi miaka 5 iliyopita
Jitahidi uwe unajizuia kuushiriki upumbavu kimaandishi ambayo ni kama muhuri wa moto.Ni bora kutulia na kuangalia wengine wanawaza nini ili ujifunze.Siyo kila kitu unang'ang'ania upuuzi ili tu ujifurahishe au kuonekana upo sana kwenye umoja wa wehu.
 
Nimemsikiliza Mh mbowe kwa umakini sana, awali ya yote nisamehewe kwani kuna wakati nilihoji na kuponda maamuzi ya mbowe nikidhani ni 'mlamba asali'

Yameongelewa mengi kuhusiana na mkataba wa Bandari na kampuni ya DP world, lakini maswali matatu ambayo mpaka sasa yamekosa majibu yamenifikirisha sana. Maswali hayo ni

1. Ni muda gani mkataba utadumu (duration)
2. Kwanini bandari za zanzibar hazijaguswa?
3. Hyo kampuni itawekeza kiasi gani? Na nini nchi itapata?

Ndugu zangu, kumbe mkataba huu umevujishwa kwa siri na wazalendo, lakini pia umepelekwa bungeni kujadiliwa tu na kupitishwa. Hakuna kitu kingine wabunge wanaweza kufanya.

Ndani ya nchi yetu kumewahi kushuhudiwa mikataba ya hovyo kama ile ya
A) Kagoda
B) Escrow
C) Buzwagi nk. Lakini mkataba huu ndio wa hovyo na hatari zaidi, kwani hauna kikomo!

Ndugu zangu, ni kweli watanzania wengi tuna njaa, lakini kuna wakati njaa zikae pembeni tuokoe vizazi vijavyo.

Wengi hawajui kua kampuni hii inamilikiwa na nchi za UAE (state owned) sasa sie Tanzania tunashindwa nini kuunda kampuni itakayosimamia bandari zetu.? Keanini tusiunde kampuni ambayo itatoka nje ya Tz kufanya biashara kama zilivyo kampuni za Dp word, au ile ya Arabs contractors? Ni kipi ambacho Tanzania tunakosa?

Sina lengo baya, ila inawezekana kwa sasa tuna uongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
Tatizo wasomi wengi wa Tanzania ni vilaza na wezi ukiunda kampuni itafirisika dakika sifuri
 
Miamba! 👏👏👏

[emoji58][emoji52][emoji846][emoji846]
20230607_101715.jpg
 
Nchi itapata kiasi gani wameshaelesa sema wao na nyie ni hamna habari
Kwa nini Bandari za Zenj hazipo ni jibu jepesi, Bandari sio ishu za muingurumo na on top of that mm nafahamu Zanzibar Inajenga Bandari Mpya na mjenzi ni huyu huyu DP World
Kiasi gani kitawekezwa Hilo sidhani kama ni la Serikali bali la mwekezaji

Mda wa uwekezaji watakuja kujibu wao nimeona mara Waseme miezi 12 mara miaka 100 💯 mjanja wenyewe.

Mwisho nawakumbusha tuu mtahemka sana ila itapita kama.ishu ya Maasai wa Ngorongoro
Haitapita.. pumbafuuu
 
Back
Top Bottom