Nimerudisha imani kwa CHADEMA, nimerudisha imani kwa Mbowe, watanzania tuamke hii sasa inatosha

Which Tanzanians are you talking about !!!?? Infact they no it very well that you can't and won't do anything !!!
 
Wacha ya kuambiwa, mkataba uko tovuti ya Bunge. Unataka Zanzibar iwemo, Mombasa je? Unaisha lini? Soma. Shilingi ngapi? Soma.
 
Mbowe na chadema wanapoteza muda kuongelea katiba wakati hii iliyopo wananchi wengi hawaijui, walitakiwa waanze kudai serikali ya Tanganyika wangepata support kubwa kwani hata ndani ya CCM hawataki huu Muungano wa kimchongo
 
Mmmh, inampa shida tundulissu anapowambia Katiba nzuri ni ya wakoloni ya 1960 aliiharibu Nyerere 1962 na Kawawa 1963 chamakimoja na Karume 1964, halafu analaumu CCM kwa katiba ya 1977 wakati haijazaliwa. Shida kweli, sasa wamesema hawatapiga kura 2025.
 
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…