TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Inategemea manWatu kama ninyi mnaitwaga masnitch mara nyingi mnaishiaga kwenye 18 za watu mkiwekewa mitego.
Umepata ile commission waliyoahidi?Habari wadau..!
Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu.
Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani.
Ila hawa waduanzi wakijua kihere here kitaniponza😂😂
Halafu umepata faida gani?Habari wadau..!
Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu.
Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani.
Ila hawa waduanzi wakijua kihere here kitaniponza😂😂
Serikali imeenda kununua dawa katika kidogo kilichopatikana, unaswali jingine?Halafu umepata faida gani?
Huo unaitwa "UNAA" kama sio "UPASHKUNA"Habari wadau..!
Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu.
Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani.
Ila hawa waduanzi wakijua kihere here kitaniponza😂😂
Kanisikitisha sana huyu nchi hii Kuna majizi makubwa hayaguswi why kuchongea watu wa chini.Wewe umeokoa 20M , wenzako wanaiba mabilioni huko juu mwisho wa siku wewe ndio fala
Majamaa ni majizi yanatapeli raia kitaa,yana kwepa kodi yakishirikiana na viongozi wa S/kali za mtaa na hakuna wa kuwazuia imeniuma sana imebidi nitafute angle yakuwabana.Kanisikitisha sana huyu nchi hii Kuna majizi makubwa hayaguswi why kuchongea watu wa chini
Jamaa ni matapeli yaliyoenda shule ,yanatapeli raia kitaa .Halafu umepata faida gani?