Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu.

Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani.

Ila hawa waduanzi wakijua kihere here kitaniponza😂😂
 
Umepata ile commission waliyoahidi?
 
Habari wadau..!
Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu.

Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani.

Ila hawa waduanzi wakijua kihere here kitaniponza😂😂
Halafu umepata faida gani?
 
Huo unaitwa "UNAA" kama sio "UPASHKUNA"
 
Safi mkuu...Ingawa huwa inauma. Nakumbuka kuna mtu alienda kunichomea bodi ya mikopo eti sikatwi! Wakaanza kunikata ela ndefu na faini juu. Plus mkopo wa benki..niliona uchungu.

Anyway,thanks to Madame President Ma Samia. It is almost finished.
 
Umefanya jambo jema ili maslahi ya watawala yaongenzwe, si ulisikia wabunge wakilalamika posho haziwatoshi.Wewe sasa itabidi tuwe tunafuatilia ID yako kama una log in humu jukwaani.tukiona kimya tutajua umeshavuna mavuno yako, na ulishaimbiwa nyimbo zote parapanda na niagieni.
 
Back
Top Bottom