Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

mchepuko kasalitiwa[emoji2][emoji2][emoji2]

fanya yako we mwenyewe si unaiba? basi shinda mechi zako

wa kuja kuumia ni mumewe siki akija kujua kuna wewe na kuna mpangaji mwenzio tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu. kwa zaidi ya mwaka sasa, nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake(alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja, hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande WA massage, nikaona msg zao wanavyo chati.
My take:
Wakati unatafakari,
Sikiliza haka kawimbo kwa umakini

Les Wanyika - Sina Makosa

Aiyo
Lelelile Lelelilo ah Mama

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Yule si wako
Nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Lelelile Lelelilo oh Mama
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Kwako hayuko
Kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Lelelile Lelelilo ah Mama
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Wewe una wako nyumbani
Nami nina wangu nyumbani
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Nasema sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana

 
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu. kwa zaidi ya mwaka sasa, nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake(alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja, hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande WA massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.
Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha , sijui ni fanyaje.?
Bado hajajua kama na fahamu lolote.
Huyo mwanamke ni malaya.
1. Anakudanganya mume wake hatoi pesa...huo ni uongo. Pesa ya matumizi anapewa na wewe anakuchuna vile vile.
2..Huyo ni muuzaji. Hapo umeona meseji kutoka kwa mmoja, lakini atakuwa na wengine.

Chukua hatua. Achana na huyo malaya. utakuja kujuta baadae
 
Yupo wa kwanza kazalisha alafu kala kona, akaja wa pili kaweka ndani single mother lakini kakimbia, umekuja wewe lakini bado anakigawa kwa mwingine.
Kuna mwanamke kweli hapo..

Unahitaji kupigwa konzi la nguvu la utosi ushtuke wewe.
 
mchepuko kasalitiwa😃😃😃

fanya yako we mwenyewe si unaiba? basi shinda mechi zako

wa kuja kuumia ni mumewe siki akija kujua kuna wewe na kuna mpangaji mwenzio tena
Tafuta mrembo mlete humo geto kwako weekend moja,atanyooka tu otherwise mpige teke km la chura vile
 
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.

Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake (alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja.

Hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande wa massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.

Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha, sijui nifanyaje?

Bado hajajua kama na fahamu lolote.
Kama unampenda basi muowe mkuu
 
Unampendaje mke wa mtu?!! Unadhani anaweza mwacha mme wake akaja kwako?!

Na kama amweza kuchepuka na wewe nini kinamzuia kuchepuka na mwingine?! Hutakiwi kushangaa.
 
Shetani analalamika kuwa kuna shetani mwingine anamuingilia katika uasi !!
 
Ilitokea nyumba moja ya kupanga mme kawahi asubuhi kazini jirani kaingia kula mzigo wa chumba Cha pili kasoma mchezo kwamba mke wa jamaa yake analiwa akaa mlangoni anatoka TU jamaa akamvaa shemeji mtu " nimeusoma mchezo umeliwa mmeo akirudi ni lazima nimwambie" ooh shemeji nyonde nakuomba usimwambie mr ataniua " basi na mimi nipe ili nitunze siri nisimwambie mmeo" ikabdi shemeji mtu akubali so mke wa MTU kaliwa na wanaume wawili wapangaji wenzake.
Wanawake wamebeba machafu mengi sana,usiwaone wanalia makanisani wamebeba mengi sana sirini
 
Mwizi akiibiwa standi ya bus apiga kelele mwezi mzima ndo wewe mwixi unalalama nini
 
Back
Top Bottom