Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

mchepuko kasalitiwa[emoji2][emoji2][emoji2]

fanya yako we mwenyewe si unaiba? basi shinda mechi zako

wa kuja kuumia ni mumewe siki akija kujua kuna wewe na kuna mpangaji mwenzio tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
My take:
Wakati unatafakari,
Sikiliza haka kawimbo kwa umakini

Les Wanyika - Sina Makosa

Aiyo
Lelelile Lelelilo ah Mama

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Yule si wako
Nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Lelelile Lelelilo oh Mama
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Kwako hayuko
Kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Lelelile Lelelilo ah Mama
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Wewe una wako nyumbani
Nami nina wangu nyumbani
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Nasema sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana

 
Huyo mwanamke ni malaya.
1. Anakudanganya mume wake hatoi pesa...huo ni uongo. Pesa ya matumizi anapewa na wewe anakuchuna vile vile.
2..Huyo ni muuzaji. Hapo umeona meseji kutoka kwa mmoja, lakini atakuwa na wengine.

Chukua hatua. Achana na huyo malaya. utakuja kujuta baadae
 
Yupo wa kwanza kazalisha alafu kala kona, akaja wa pili kaweka ndani single mother lakini kakimbia, umekuja wewe lakini bado anakigawa kwa mwingine.
Kuna mwanamke kweli hapo..

Unahitaji kupigwa konzi la nguvu la utosi ushtuke wewe.
 
mchepuko kasalitiwa😃😃😃

fanya yako we mwenyewe si unaiba? basi shinda mechi zako

wa kuja kuumia ni mumewe siki akija kujua kuna wewe na kuna mpangaji mwenzio tena
Tafuta mrembo mlete humo geto kwako weekend moja,atanyooka tu otherwise mpige teke km la chura vile
 
Kama unampenda basi muowe mkuu
 
Unampendaje mke wa mtu?!! Unadhani anaweza mwacha mme wake akaja kwako?!

Na kama amweza kuchepuka na wewe nini kinamzuia kuchepuka na mwingine?! Hutakiwi kushangaa.
 
Shetani analalamika kuwa kuna shetani mwingine anamuingilia katika uasi !!
 
Ilitokea nyumba moja ya kupanga mme kawahi asubuhi kazini jirani kaingia kula mzigo wa chumba Cha pili kasoma mchezo kwamba mke wa jamaa yake analiwa akaa mlangoni anatoka TU jamaa akamvaa shemeji mtu " nimeusoma mchezo umeliwa mmeo akirudi ni lazima nimwambie" ooh shemeji nyonde nakuomba usimwambie mr ataniua " basi na mimi nipe ili nitunze siri nisimwambie mmeo" ikabdi shemeji mtu akubali so mke wa MTU kaliwa na wanaume wawili wapangaji wenzake.
Wanawake wamebeba machafu mengi sana,usiwaone wanalia makanisani wamebeba mengi sana sirini
 
mchepuko kasalitiwa😃😃😃

fanya yako we mwenyewe si unaiba? basi shinda mechi zako

wa kuja kuumia ni mumewe siki akija kujua kuna wewe na kuna mpangaji mwenzio tena
Mkiambiwa single maza hawafai in maguz voice muelewe
 
Mwizi akiibiwa standi ya bus apiga kelele mwezi mzima ndo wewe mwixi unalalama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…