Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

Ukiiba halafu uibiwe inaumaga Dunia nzima yaani Bora angekuwa manzi yako mkuu ila wa mtu lazima ujiulize Mengi,ukizingatia wakati anaanza na ww alisema ana mume ila hamfikishi sasa kinachokuuma ni swali je kwann nipiga mashine Ile Bado anagawa k?
 
Siku nikiwa rais wa nchi nitaua vijana wote wenye akili mbovu kama ya mleta uzi
 
Pale mwizi anapotaka kumkamata mwizi mwenzake. Mwizi akiibiwa anapanic sana kwani anadhani haki ya kuiba ni ya kwake tu.
 
Kama ulivyoona chats zake, ipo siku mumewe ataona zenu vilevile. Jiandae kwa aibu ya karne hapo mtaani.
 
Kama Mtu alimsaliti mumewe wewe ni nani usisalitiwe?
 
Mwanamke malaya ni kama Nyoka hafugikiiiiii................endelea kuhudumia danga lako kwa muda wako na yule mwingine amuhudumie kwa wakati wake......... kumbuka kupata utelezi mara kwa mara kuimarisha mahusiano
 
mchepuko naye anamchepuko wake 😄😄😄
 
EEE na unaumia kabisaaa wakati sio MTU wako aisee [emoji23]
 
mchepuko kasalitiwa😃😃😃

fanya yako we mwenyewe si unaiba? basi shinda mechi zako

wa kuja kuumia ni mumewe siki akija kujua kuna wewe na kuna mpangaji mwenzio tena
Atawaua wote.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sasa unaachaje kusmile JF kama sio kucheka mpk mapafu yaume...
 
Jinga hili jipende mwenyewe kula vizuri vaa vizuri eti linampenda mke wa mtu alafu linaumia
 
Nataka nichane jamaa, ni mwambie aachane na demu wangu
Kuwa Kama Muwamba Ngoma, Vutia Kwako Kimya kimya. We kula huku unafuta mdomo....

NB hata mimi kuna ninayemhudumia mme wake hamjali kabisa yani.

Sisi wanaume tujali Familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…