Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

Nchi hii ina wapumbavu wengi sana
 
Ila kuna wana wana vichwa visivyo na ubongo!!!
 
Usiwe na mawazo chukulia tu anakuza kipato. bro we kula mzigo. akiendelea nipe namba nimkanye
 
Hakikisha muda wote unatembea na kikopo kidogo cha Rays au Vaseline...
 
Maisha haya yanafurahisha. Mwizi nae kaibiwa analalamika
 
Daah hii dunia ina watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kamsemee kwa mumewe.
 
Huyo single mother sio mchezo, yaani mtoto wake ana baba wanne. Baba mzazi, baba wa kambo, halafu mnakuja nyie baba walezi [emoji1787]
 
Ndio maana tunasema hapa JF kila siku Single mothers hawafai
 
Nyie Ndiyo mnafanya wanaume tudharaulike.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.
Siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako,
Umeng'oa demu kwa misaada ya sukari,
Wenzio wanang'oa kwa misaada ya wine,
Wanamkula akiwa yupo full vibe, anatoa vyooote!
Acha uboya.....
 
afya ya akili ni tatizo.
 
Mwite mwambie ukweli maana mmeshakuwa kwenye mahusiano ila umekosa mtu single ambaye yupo huru ?? Maana mumewe akija jua suo vizuri halafu ni nyumba moja mpo sio fresh
 
Ote wase** na kama ndo ningekuwa mume mtu ninge wa** ote wawili hakuna kitu nisichokipenda kama mwanaume kutoka na mke wa mtu alafu ukawa unajisifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…