Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

una kawehu aisee
 
Ukiona hivyo humli akafika anakotaka
 
Imebakia asilimia 2% ukamilike kuwa kenge kamili ili ukipigwa uweze kutoka damu puani
 
Wote mlikuwa hamjui kama hicho ni choo ya stendi unajisaidia unaenda zako, sasa wewe jamaa wala usilalame wew kojoa usepe zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…