Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Sikushauri tender za serikali labda ukuwe na mtaji mkubwa Ila Kama umekosa tender mpaka umecome hapa kuomba namna mzuri ya kupata tender ni wazi na mtaji ni mdogo ,hivyo ukweli ni kuwa serikali watakufirisi ndugu yangu ,tafuta tender huko private sector kwa serikali utaula wa chuya ,kaka mkubwa
Yaani nami kabla sijasoma ujumbe wako, nimehisi ana mtaji mdogo. Huwezi kuwa na mtaji mkubwa halafu usijue namna ya kupata tender.
 
Sikushauri tender za serikali labda ukuwe na mtaji mkubwa Ila Kama umekosa tender mpaka umecome hapa kuomba namna mzuri ya kupata tender ni wazi na mtaji ni mdogo ,hivyo ukweli ni kuwa serikali watakufirisi ndugu yangu ,tafuta tender huko private sector kwa serikali utaula wa chuya ,kaka mkubwa
Private sector nazo zinamajanga yake kimsingi ajipnage tu kudai hata miaka 5 abadai malipo.
 
Back
Top Bottom