Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Kwanza kabisa hongera kwa hatua uliochukua.

Pili, jipe moyo maana kazi ndio kwanza imeanza

Tatu, hakikisha umecomply kitaratibu na sheria za nchi nikimaanisha makaratasi yako yawe sawa. Hakikisha una certification zote, tax clearance pamoja na kufuatilia mabo ya annual returns, filings kwa wakati ili kuepuka faini zisizo na tija..

Nne, jisajili kwenye mfumo wa NeST na fuata taratibu zote zilizoainishwa kwenye mfumo. Fuata hiyo link kujua zaidi 👇

View: https://youtube.com/playlist?list=PL0xdBmzPXCeGgX720ipgt2M2rQxyqGQ73&si=X7Q-MRcJ8FOrLLQF

Pia usipende kusikiliza kila kitu watu wanachosema. Kuwa na circle mnaojadili mambo yenye tija na maendeleo.
Utajifunza mengi ikiwemo namna ya kupata na kuongeza mtaji kwenye kampuni na kuwekeza katika miradi tofauti tofauti ili kuwa financially able kufanya mambo mengine.
Yangu ni hayo tu.
 
Asante sana
Nitajifunza tu taratibu
 
Alafu wewe jamaa una nikorofisha Sasa ,sidhani Kama una kampuni mbona unasifa sifa hivyo ?
Basi sawa eleza unahitaji tenda kama zipi ili nikupe tender Sasa alafu nikubanie malipo nione Kama hautakuja kulialia hapa jjamvini ,mkuu DeepPond where are you budah?
Usipanick mkuu, kwani ni uongo hela hakuna benki,
Kuwepo benki sio lazima ziwe zangu, si naruhusiwa kukopa?
 
Nina mtaji mkubwa sana, sema mda mrefu nimekuwa mkulima tu, mambo haya siyajui
Ila nasikia huku kuna hela
Wewe jamaa naona umeamua tu kuja hapa kuchangamsha watu. Kama hayo mambo huyajui nini kilikutuma kusajili kampuni? Kuna comment yako umesema upo tayari kusupply chochote ikiwemo kujenga barabara. Sasa wewe hujui kila biashara ina leseni yake? Ina maana una leseni nyingi zaidi ya 5? Acha fiksi bro. Inakera sana kusoma ujinga ujinga wako kwenye jambo serious kama hili.
 
Hichi ndio nilikuwa natafuta, coz nimesiki tu juu juu, enhe niambie naanzaje moja mbili tatu mpaka mwisho
Ngoja waje wataalam watakuelezea hapo coz mimi sio mtaalam wa haya mambo ila kuna ofisi niliwahi kuwepo nilikua nashuhudia vile bid zinavyofanyika.

Inshort hizo tender huwa zinakuja na maelezo kamili pamoja na vigezo na masharti yake then wewe utapitia utaona kama uko na hivyo vigezo vya kuitekeleza hiyo tender na ukishajiridhisha basi unaandaa proposal then unaituma.
 
Back
Top Bottom