Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Ukatendewe kwa kadri nafsi yako inavyohitaji mkuu.Nitakaa nao ila nimeambiwa kuna wataalamu wanaotayarisha hizi tenda na wanapatikana humo humo kwenye tenda , yaani kwa kweli nimepania kweli kweli