jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mkuu naomba maekezo zaidi kuhusu hili suala la proprietors na partnerships linafanyikajeTuanze na haya maswali hapa:
1. Kwanini mmesajili kampuni?
2. Hao wamiliki wenzako mmekosa mawazo yakujua muanzie wapi?
Ila naona kama mmekimbilia mbali sana kusajili kampuni, wengi wanafikiri tenda za serikali lazima kuwe ni kampuni ila bado zipo tenda wanaingia proprietors na partnerships pia. Kampuni ni gharama zisizo na ulazima hasa kwa wanaoanza.
Samahani mchango wangu upo nje kidogo ya uhitaji wko ila nimeona nikupe alarm kichwani Mkuu.