Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Nitakucheki
Habar mkuu
Mimi nnaitea Justine Pius.
Nina company yangu inaitwa 4core power and machine. Ni company ya Ukandarasi(Contractor) upande wa Electrical( Class 5) na Mechanical ( class 6). Pia tunafanya kaz za kusupply Spare na material mbalimbali kwenye Private sector pamoja na Serikalini.
Pia tunauza na kufanya preventive and Breakdown maintenance ya Generator Earth moving machine na Air compressor used. Office zpo Tabata relin
0693296809
Nimekuja hapa kuomba kama kuna mtu na connection yoyote ya sisi kupata Tender sehem yoyote utusaidie mkuu.
Samahani sana kwa Usumbufu.
 
Hilo ni kosa la kwanza ameshalifanya.
Yaani ameanzisha kampuni bila ya kujua atasupply wapi na hata bidhaa atakazosupply pia hajui so hapo atakuwa analipa kodi tu za bure kabla ya kupata clients
Sasa nitafute oda bila kampuni? Kama ningenogewa si ningevunja sheria? Mimi nadhani step ya kwanza ni kufungua kampuni, ila inawezekana labda nilikosea kwa kuwa si mzoefu
 
Kuna makampuni zaidi ya 10,000 yaliyosajiliwa yanasaka tenda za serikali so sio automatic, ila sajili kampuni yako NEST ukiwa na leseni za aina zote za biashara unazotaka kufanya, na uwe na TIN na VAT au TIN km biashara zako sio kubwa sana. Baada kupata approval utakuwa na nafasi ya kubid sasa ukishindana na makampuni mengine hayo!
 
Kuna tajiri, mkuu wa tender hasa za serikali wilaya ya KAHAMA, KUPATA pesa yake hadi aende kwa mganga.
 
Habar mkuu
Mimi nnaitea Justine Pius.
Nina company yangu inaitwa 4core power and machine. Ni company ya Ukandarasi(Contractor) upande wa Electrical( Class 5) na Mechanical ( class 6). Pia tunafanya kaz za kusupply Spare na material mbalimbali kwenye Private sector pamoja na Serikalini.
Pia tunauza na kufanya preventive and Breakdown maintenance ya Generator Earth moving machine na Air compressor used. Office zpo Tabata relin
0693296809
Nimekuja hapa kuomba kama kuna mtu na connection yoyote ya sisi kupata Tender sehem yoyote utusaidie mkuu.
Samahani sana kwa Usumbufu.

Hongera

Ila unahitaji MTU wa kukutafutia tenda ambaye utamlipa Kila ukipata Kazi?
 
Yaani nami kabla sijasoma ujumbe wako, nimehisi ana mtaji mdogo. Huwezi kuwa na mtaji mkubwa halafu usijue namna ya kupata tender.
Mkuu kuwa na hela ni jambo la kwanza, kuwa na wazo la biashara ni jambo la pili. Swali ni je unaweza unganisha hayo mambo kwa wakati mmoja
 
Sasa nitafute oda bila kampuni? Kama ningenogewa si ningevunja sheria? Mimi nadhani step ya kwanza ni kufungua kampuni, ila inawezekana labda nilikosea kwa kuwa si mzoefu
Step ya kwanza ni kuandaa clients,bila ya kuwa na clients hautaweza kusurvive kwenye game lazima utaangukia pua.
Lazima ujue trends ya biashara unayohitaji kufanya,changamoto zake,washindani wako kwa mfano kama hujui soko wala washindani wako kwenye bidhaa uliyobargain kuuza kwa 100,000 wenzako watabargain kwa 75,000 na watachukua tenda.
Halafu kwenye biashara yoyote process ya kuwateka wateja wawe wanakuja kununua kwako au wawe wanakuja kutoa tenda kwako huchukua miaka sio jambo la wiki moja au mwezi.
Sasa katika hiyo miaka unayosubiria ujulikane mtaji wako utakuwa ushakula umeisha
 
yaan ulitafakari kabisa ukafungua hiyo biashara na hujui Utampataj mteja wako.

kwanini hukujiuliza Why ufungue kampuni hiyo.
Hili swali ungekuja kuuliza kabla hata hujafungua hiyo kampuni lingekuwa na maana.
 
Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Kwanza hakikisha una ...leseni za kazi zako unazotaka kufanya na serikali, uwe na company profile, uwe umelipa kodi stahiki za mwaka husika na una tax clearance, una EFD system, japokuwa huna uzoefu jisajili na NEST ili utambulike kama mzabuni, utaanza kushindania tenda, na ukiona huwezi mwenyewe tafuta joint venture na kampuni wazoefu kwenye hizo kazi wanapopata tender uafanye nao kwa sehemu..atleast uwe na kamtaji (account bank isome atleast) , kfupi uwe na nyaraka zote za kisheria na kikanuni, una physical office yenye wafanyakazi nk...anza kujiingiza ktk forums za kutafita tender au kujaribu kuomba tender zinazotangazwa, jaribu bila kukoma..
 
Step ya kwanza ni kuandaa clients,bila ya kuwa na clients hautaweza kusurvive kwenye game lazima utaangukia pua.
Lazima ujue trends ya biashara unayohitaji kufanya,changamoto zake,washindani wako kwa mfano kama hujui soko wala washindani wako kwenye bidhaa uliyobargain kuuza kwa 100,000 wenzako watabargain kwa 75,000 na watachukua tenda.
Halafu kwenye biashara yoyote process ya kuwateka wateja wawe wanakuja kununua kwako au wawe wanakuja kutoa tenda kwako huchukua miaka sio jambo la wiki moja au mwezi.
Sasa katika hiyo miaka unayosubiria ujulikane mtaji wako utakuwa ushakula umeisha
Ndio mana kuna umuhimu wa kuandaa Business plan yako mapema ambayo ni comprehensive na inayoforecast miaka atleast 3 mbele.
 
yaan ulitafakari kabisa ukafungua hiyo biashara na hujui Utampataj mteja wako.

kwanini hukujiuliza Why ufungue kampuni hiyo.
Hili swali ungekuja kuuliza kabla hata hujafungua hiyo kampuni lingekuwa na maana.
Hata sasa baada lina maana sana
 
Kwanza hakikisha una ...leseni za kazi zako unazotaka kufanya na serikali, uwe na company profile, uwe umelipa kodi stahiki za mwaka husika na una tax clearance, una EFD system, japokuwa huna uzoefu jisajili na NEST ili utambulike kama mzabuni, utaanza kushindania tenda, na ukiona huwezi mwenyewe tafuta joint venture na kampuni wazoefu kwenye hizo kazi wanapopata tender uafanye nao kwa sehemu..atleast uwe na kamtaji (account bank isome atleast) , kfupi uwe na nyaraka zote za kisheria na kikanuni, una physical office yenye wafanyakazi nk...anza kujiingiza ktk forums za kutafita tender au kujaribu kuomba tender zinazotangazwa, jaribu bila kukoma..
Umenipa moyo sana,
Asante
 
Step ya kwanza ni kuandaa clients,bila ya kuwa na clients hautaweza kusurvive kwenye game lazima utaangukia pua.
Lazima ujue trends ya biashara unayohitaji kufanya,changamoto zake,washindani wako kwa mfano kama hujui soko wala washindani wako kwenye bidhaa uliyobargain kuuza kwa 100,000 wenzako watabargain kwa 75,000 na watachukua tenda.
Halafu kwenye biashara yoyote process ya kuwateka wateja wawe wanakuja kununua kwako au wawe wanakuja kutoa tenda kwako huchukua miaka sio jambo la wiki moja au mwezi.
Sasa katika hiyo miaka unayosubiria ujulikane mtaji wako utakuwa ushakula umeisha
Ndio najifunza, na mtaji upo tu wala hauwezi kwisha hata miaka ipite, nasuniri na hela inazunguka
 
Back
Top Bottom