Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Kwa sababu ni jambo la halali, rukhsa. Ila mimi sina ujuzi na hiyo mambo, niwaachie uwanja wengineKuprint nguo za kijaniš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu ni jambo la halali, rukhsa. Ila mimi sina ujuzi na hiyo mambo, niwaachie uwanja wengineKuprint nguo za kijaniš
Hahahaha, lazima sindano ichome kwanzaHakunag pesa bila jasho š
Jiunge na CCM na utafute nafasi ili ushiriki vikao utaanza kupata tenda kedekedeKwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Aah huko hapana mkuu, naogopa kurogwaJiunge na CCM na utafute nafasi ili ushiriki vikao utaanza kupata tenda kedekede
Kumbi za mikutano, lodge na lounge ni biashara nzuri, fanya promotions nzurKwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Wewe unataka hela alafu unaogopa kulogwa!? Inamaana Mungu uliye nae humuaminj atakulinda?Aah huko hapana mkuu, naogopa kurogwa
Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Hakuna usiri hapo, si nimesema tender za serikali?Tenda ya nini? Mbona msiri sana!
Pamoja sana mkuu, nitakupmCheki kwanza tender kwenye mashirika na asasi mkuu kama mtaji wako upo reasonable. Shida ya serikali pesa hukaa kwao muda mrefu, serikali usiiweke sana kwenye shabaha zako, inakopa sana watoa huduma na makandarasi.
Kama unataka ugavi au ujenzi nakushauri anzia Kigoma kambi za wakimbizi, kuna mashirika siyataji kule tenda zipo kibao uwe na mtaji tuu mzuri na connection ambayo utaitengenezea kule kule.
Nimetokea kule binafsi wakati najitafuta back in the days baada ya chuo.
Hongera kwa kupata maono ya kuwa na kampuni, hatua kubwa.
Azingatie sana huu ushauri.Pia usipende kusikiliza kila kitu watu wanachosema. Kuwa na circle mnaojadili mambo yenye tija na maendeleo.
Utajifunza mengi ikiwemo namna ya kupata na kuongeza mtaji kwenye kampuni na kuwekeza katika miradi tofauti tofauti ili kuwa financially able kufanya mambo mengine.
Yangu ni hayo tu.
Pamoja sana mkuu, nitakupm
Hii nimeipendaCheki kwanza tender kwenye mashirika na asasi mkuu kama mtaji wako upo reasonable. Shida ya serikali pesa hukaa kwao muda mrefu, serikali usiiweke sana kwenye shabaha zako, inakopa sana watoa huduma na makandarasi.
Kama unataka ugavi au ujenzi nakushauri anzia Kigoma kambi za wakimbizi, kuna mashirika siyataji kule tenda zipo kibao uwe na mtaji tuu mzuri na connection ambayo utaitengenezea kule kule.
Nimetokea kule binafsi wakati najitafuta back in the days baada ya chuo.
Hongera kwa kupata maono ya kuwa na kampuni, hatua kubwa.
Hongea mgosiJiunge na mfumo wa Nest PPRA Utanishukuru..
Safi sana, umenipa matumainiIla uhakika serikali haidhurumu mtu.