mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
-
- #141
Habar mkuu
Mimi nnaitea Justine Pius.
Nina company yangu inaitwa 4core power and machine. Ni company ya Ukandarasi(Contractor) upande wa Electrical( Class 5) na Mechanical ( class 6). Pia tunafanya kaz za kusupply Spare na material mbalimbali kwenye Private sector pamoja na Serikalini.
Pia tunauza na kufanya preventive and Breakdown maintenance ya Generator Earth moving machine na Air compressor used. Office zpo Tabata relin
0693296809
Nimekuja hapa kuomba kama kuna mtu na connection yoyote ya sisi kupata Tender sehem yoyote utusaidie mkuu.
Samahani sana kwa Usumbufu.
Sawa nakujawww.zabuni.com
www.nest.com
Kama utashindwa imbox tufanye kazi ni expert kwenye swala la hr pia mambo mbalimbali katika kampuni pm me.
Sasa nitafute oda bila kampuni? Kama ningenogewa si ningevunja sheria? Mimi nadhani step ya kwanza ni kufungua kampuni, ila inawezekana labda nilikosea kwa kuwa si mzoefuHilo ni kosa la kwanza ameshalifanya.
Yaani ameanzisha kampuni bila ya kujua atasupply wapi na hata bidhaa atakazosupply pia hajui so hapo atakuwa analipa kodi tu za bure kabla ya kupata clients
Asante sanaNitakucheki
Amina.Asante kwa ushauri mzuri,, tayari nimo ndani naendeleza mapambano
Mungu akubariki
Habar mkuu
Mimi nnaitea Justine Pius.
Nina company yangu inaitwa 4core power and machine. Ni company ya Ukandarasi(Contractor) upande wa Electrical( Class 5) na Mechanical ( class 6). Pia tunafanya kaz za kusupply Spare na material mbalimbali kwenye Private sector pamoja na Serikalini.
Pia tunauza na kufanya preventive and Breakdown maintenance ya Generator Earth moving machine na Air compressor used. Office zpo Tabata relin
0693296809
Nimekuja hapa kuomba kama kuna mtu na connection yoyote ya sisi kupata Tender sehem yoyote utusaidie mkuu.
Samahani sana kwa Usumbufu.
Mkuu kuwa na hela ni jambo la kwanza, kuwa na wazo la biashara ni jambo la pili. Swali ni je unaweza unganisha hayo mambo kwa wakati mmojaYaani nami kabla sijasoma ujumbe wako, nimehisi ana mtaji mdogo. Huwezi kuwa na mtaji mkubwa halafu usijue namna ya kupata tender.
Step ya kwanza ni kuandaa clients,bila ya kuwa na clients hautaweza kusurvive kwenye game lazima utaangukia pua.Sasa nitafute oda bila kampuni? Kama ningenogewa si ningevunja sheria? Mimi nadhani step ya kwanza ni kufungua kampuni, ila inawezekana labda nilikosea kwa kuwa si mzoefu
Ndio nnamtafuta hyo mtu sababu nnajua cwez kutoboa mwenyewHongera
Ila unahitaji MTU wa kukutafutia tenda ambaye utamlipa Kila ukipata Kazi?
Kwanza hakikisha una ...leseni za kazi zako unazotaka kufanya na serikali, uwe na company profile, uwe umelipa kodi stahiki za mwaka husika na una tax clearance, una EFD system, japokuwa huna uzoefu jisajili na NEST ili utambulike kama mzabuni, utaanza kushindania tenda, na ukiona huwezi mwenyewe tafuta joint venture na kampuni wazoefu kwenye hizo kazi wanapopata tender uafanye nao kwa sehemu..atleast uwe na kamtaji (account bank isome atleast) , kfupi uwe na nyaraka zote za kisheria na kikanuni, una physical office yenye wafanyakazi nk...anza kujiingiza ktk forums za kutafita tender au kujaribu kuomba tender zinazotangazwa, jaribu bila kukoma..Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Tender zinatangazwa nest, jisajili nestKwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Ndio mana kuna umuhimu wa kuandaa Business plan yako mapema ambayo ni comprehensive na inayoforecast miaka atleast 3 mbele.Step ya kwanza ni kuandaa clients,bila ya kuwa na clients hautaweza kusurvive kwenye game lazima utaangukia pua.
Lazima ujue trends ya biashara unayohitaji kufanya,changamoto zake,washindani wako kwa mfano kama hujui soko wala washindani wako kwenye bidhaa uliyobargain kuuza kwa 100,000 wenzako watabargain kwa 75,000 na watachukua tenda.
Halafu kwenye biashara yoyote process ya kuwateka wateja wawe wanakuja kununua kwako au wawe wanakuja kutoa tenda kwako huchukua miaka sio jambo la wiki moja au mwezi.
Sasa katika hiyo miaka unayosubiria ujulikane mtaji wako utakuwa ushakula umeisha
Ndio %? NgapiJe unahitaji MTU wa kufanya nae Kazi ambaye atakuwa anatembelea sehemu mbali mbali kukutafutia tenda then wewe utamlipa Kwa camission ?
Hata sasa baada lina maana sanayaan ulitafakari kabisa ukafungua hiyo biashara na hujui Utampataj mteja wako.
kwanini hukujiuliza Why ufungue kampuni hiyo.
Hili swali ungekuja kuuliza kabla hata hujafungua hiyo kampuni lingekuwa na maana.
Umenipa moyo sana,Kwanza hakikisha una ...leseni za kazi zako unazotaka kufanya na serikali, uwe na company profile, uwe umelipa kodi stahiki za mwaka husika na una tax clearance, una EFD system, japokuwa huna uzoefu jisajili na NEST ili utambulike kama mzabuni, utaanza kushindania tenda, na ukiona huwezi mwenyewe tafuta joint venture na kampuni wazoefu kwenye hizo kazi wanapopata tender uafanye nao kwa sehemu..atleast uwe na kamtaji (account bank isome atleast) , kfupi uwe na nyaraka zote za kisheria na kikanuni, una physical office yenye wafanyakazi nk...anza kujiingiza ktk forums za kutafita tender au kujaribu kuomba tender zinazotangazwa, jaribu bila kukoma..
Ndio najifunza, na mtaji upo tu wala hauwezi kwisha hata miaka ipite, nasuniri na hela inazungukaStep ya kwanza ni kuandaa clients,bila ya kuwa na clients hautaweza kusurvive kwenye game lazima utaangukia pua.