Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

Kweli lengo ni kukusanya kodi ama kuna mtu anahujumiwa?
Kweli wanaaminini wananchi tutaikubali hali hii kikondoo?
Utafanyaje sasa haka kama hukibariani na hali.. sei ni makondooo.. hili litapita na watu watazoea ... sie ni watu wa maneno mengi mengi na kusema sema vitendo ni sifuri
 
"Hizi gharama mpya za mitandao ni dalili kuwa hatujuani hali zetu. Hayo makato sio mzigo kwa wenye uwezo bali kwa "wanyonge" ni mzigo mzito. Hakika matajiri na mali zao na maskini na watoto wao."- Dr. Stephen Munga

Wewe mpaka umelipa 120.000 ndani ya saa 20 basi upo vizuri.
 
Wabunge wetu ndiyo chanzo kikuu cha shida za Mtanzania
Wabunge wateule wa mwenda, sio wabunge wa wananchi! Wakat wa uchaguzi mlikua mnatukana mara ooh katumwa na mabeberu, mara ooh shoga ! Mkafurahia kupita bila kupingwa!

Haya sasa, MABEBERU YANAYONYANYASA WANANCHI hayo hapo sasa! Mtayafanya nn?
 
Mataga bhana angeianzisha bwana wao wangeunga mkono sikuwahi kuona kupinga hata kama jambo lilikuwa la ovyo aliloanzisha
 
.
IMG_20210716_120449.jpg
 
Kweli lengo ni kukusanya kodi ama kuna mtu anahujumiwa?
Kweli wanaaminini wananchi tutaikubali hali hii kikondoo?
Ndiyo lengo. KODI halali ambayo hutoi rushwa ka TRA wakukadirie kidogo wala hawawezi kukubandikia kodi isiyokuwepo. Hii ni afadhali kuliko kupata kodi kwa nguvu na kufunga biashara za watu.Hao matajiri ndio watumiao simu kwa wingi hivyo watatoa kodi kubwa. wewe wa vocha ya 500 watakukata shs 10 siku ukiweka mara moja kwa mwezi ili line isifutwe. Maoni yangu tu. Nataka pesa hizo zikakamilishe mradi wa umeme rufiji na reli ya SGR TU. ULE WA BAGAMOYO WATOE HAO WAWEKEZAJI PESA YOTE KAMA WANAITAKA BANDARI SASA HIVI. ISUBIRI TUKAMILISHE RELINA BWAWA.
 
Back
Top Bottom