Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

Wabunge wateule wa mwenda, sio wabunge wa wananchi! Wakat wa uchaguzi mlikua mnatukana mara ooh katumwa na mabeberu, mara ooh shoga ! Mkafurahia kupita bila kupingwa!

Haya sasa, MABEBERU YANAYONYANYASA WANANCHI hayo hapo sasa! Mtayafanya nn?
na kwa kuwakomesha zaidi chadema na wapinzani wote wametulia kimya kuhusu swala hili la miamala, maana walishagundua watz hawana ushirikiano nao, pia hawataki kuunganika ktk kudai katiba mpya, sasa wote wanakalia kuti la moto sio wana ccm sio wanachadema, mwaka huu akili zitawarudia na kukaa sawa tu, hamna namna.
 
Back
Top Bottom