Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu wakati wote badala ya huruma na misingi ya tatizo ni mbaya sana. Huyu mufti ana roho mbaya sana pamoja na tunajua ndiyo ni kada wa CCM. Anajivunija tu heshima sana, sijui hajui nini aongee mbele ya macho ya umma. Au yawezekana haya mambo ya kimahakama hajui kitu na hata kesi zinazosemwa hazijui na hana uelewa nazo. Hivi hua hawangalii kina Dr Shoo wanaongeaje?

Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?

Yaani yeye yupo kimaslahi tu hata delegations za nafasi yake hazijui. Mtu unazungumzia kitu hujui msingi wake wala outcome ya utakachosema unaropoka tu.

Kwakweli Waislam kwa huyu kiongozi tumepigwa. Hakuna kiongozi hapa na huu ndio ukweli. Ifike mahali uchaguaji viongozi wa nafasi uangalie wenye elimu zote, wenye experience kwenye mambo yote.

Siye hawa walimu wa madrassa ambao mtu anapewa nafasi hajui azungumze nini anajikuta anaropoka tu.
 
Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tuu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?[emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1533]
 
Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tuu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha. Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?[emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1533]

Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
 
Umejitahidi na umefanya kila njia ku "provoke" Waislam, wala huna haja ya kuuficha ujinga wako, upo wazi kabisa, kote kote, kuanzia Sunday School mpaka Kinywani mwako. Kuwa mkweli wa nafsi yako tu, tatizo lako sio Mufti, tatizo lako ni Samia Suluhu. Unaona donge mama wa Kiislaam leo hii kuwa ndio kashika turufu zote. Hilo la Mufti lilihusu nini "madrasa"? Fumbo mfumbie mjinga mwenzio.

Kumbuka tu, elimu ya madrasa haifundishi ukipigwa la kulia ugeuze na la kushoto. Elimu ya madrasa inafundisha kisasi ni haki. Umekuwapweza kujipapalia mkaa mwenyewe. Wewe kamaunatafita Waislam, walahatupo mbali, wala usipate shida za sunday school. Wanafunzi wa madrasa tupo hapa, kinaga ubaga.

Wewe huna elimu ya kushindana hata na mtoto wa mwaka wa kwanza wa madrasa. Unafundishwa nini Sunday School zaidi ya kila siku tunasikia mkilawitiana tu na mapadri na maaskofu, ndio maana hata hapa umeandika ushoga wako.

Ungejua maana ya neno "madrasa" usingeandika utumbo. Madrasa, Kiswahili chake ni madarasa.

Elimu iliyotoka huko ndio mpaka wewe leo unazo "alphabet" ambalo ni Alif Be Te.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - courtesy - JF Founder.

Punguani wahed.
 
Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
Prof Koboko hakuandika lolote la msingi dhidi ya Mufti. Mbowe ana kesi ya kujibu, mahakama imeshaamua, kwa hiyo kusema ni kesi ya kubumba ni kudharau mahakama. Kumtaka Rais afute kesi ni kuvunja katiba.

Kama ukweli huu haujaingia kichwani mwa CHADEMA basi lipo tatizo kubwa. Mbowe ni gaidi, ushahidi umeonyesha, kaambiwa ajitetee. Ndiyo maana Mufti anamuomba akiri kosa, asamehewe, lakini asirudie tena. Huu ndiyo msimamo wa Viongozi wa dini kwa Rais.
 
Umejitahidi na umefanya kila njia ku "provoke" Waislam, wala huna haja ya kuuficha ujinga wako, upo wazi kabisa, kote kote, kuanzia Sunday Schoo mpaka Kinywani mwako. Kuwa mkweli wa nafsi yako tu, tatizo lako sio Mufti, tatizo lako ni Samia Suluhu. Unaona done mama wa Kiislaam leo hii kuwa ndio kashika turufu zote. Hilo la Mufti lilihusu nini "madrasa"? Fumbo mfumbie mjinga mwenzio.

Kumbuka tu, elimu ya madrasa haifundishi ukipigwa la kulia ugeuze na la kushoto. Elimu ya madrasa inafundisha kisasi ni haki. Umekuwapweza kujipapalia mkaa mwenyewe. Wewe kamaunatafita Waislam, walahatupo mbali, wala usipate shida za sunday school. Wanafunzi wa madrasa tupo hapa, kinaga ubaga.

Wewe huna elimu ya kushindana hata na mtoto wa mwaka wa kwanza wa madrasa. Unafundishwa nini Sunday School zaidi ya kila siku tunasikia mkilawitiana tu na mapadri na maaskofu, ndio maana hata hapa umeandika ushoga wako.

Ungejua maana ya neno "madrasa" usingeandika utumbo. Madrasa, Kiswahili chake ni madarasa.

Elimu iliyotoka huko ndio mpaka wewe leo unazo "alphabet" ambalo ni Alif Be Te.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - courtesy - JF Founder.

Punguani wahed.
Heshima yako Mkongwe wa jamii
 
Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
Huyo nia na dhumuni lake ni kumtukana Rais na kututukana Waislam wengine wote. Na hayo si mapya, huyo ndio wale wale waliosoma kwa sampuli za kina Father Kit Cunningham wa "Mtakatifu" Francis.

Na wewe usitafune maneno, Hajuwi/hujuwi kuwa mahakama ndio imeamua Mbowe ana kesi ya kujibu? Au yule hakimu nae ni wa "madrasa"?
 
Totally Crap

Thibitisha hapa elimu ya mufti au onyesha cheti chake cha Kidato Cha nne,

Thibitisha hapa hii ni kesi ya kubumba,

Kelele bila uthibitisho unapoteza muda hapa JF

Unaokoteza habari za mitaani halafu unaunganisha na hisia na ndoto zako unasema Mufti hana akili, Wewe kama una akili kwanini unatumia fake ID hapa JF

Kama wewe unajiamini na una akili zaidi ya Mufti weka hapa Kitambulisho chako cha NIDA, Kadi ya kupiga kura, Leseni au passport ili tuone kweli wewe unajiamini kuliko Mufti

Wewe ni muoga namba moja ndio maana unatumia fake ID

Wewe hufai kuongoza hata familia yako bora hata ya Mufti anaongoza mamilioni ya watu na tunamuona

Sio kila ukiwashwa unakuja kuandika hapa JF

Ukiona povu limekuzidi Jaribu kulimwaga sehemu husika na sio kuendelea kudekia ndani utasababisha uterezi, Mtu mzima umejaa udini

Kwa hiyo Gwajima na ule mkono wa baunsa ndio tabia ya wakristo?

Kwa hiyo konyagi na upako ndio tabia ya wakristo?

Mimi ni mkatoliki lakini kwa huu utoto na ujinga Siungi mkono, Mapadre wetu wana watoto mitaani huko lakini hawana uhusiano na Imani yetu, Padre kuzaa hayo ni matakwa yake na Imani yake

Dkt Slaa alikuwa padre na Katibu wa baraza la maaskofu TEC akaamua kuoa hiyo haina uhusiano kuwa kila padre ana wanawake wakati wa utumishi wake
 
Upo msemo usemao " Nguo yako ikinasa kwenye miba unatakiwa uitoe taratibu, maana ukiivuta kwa nguvu itachanika " Acheni kwanza Mbowe atoke mengine yataongelewa baadaye bandugu!
 
Nakubaliana nawe kwa sehemu kubwa. Ila kusema, "....hii ndio shida ya kuwa na viongozi wenye Elimu ya madrasa (hapa nadhani ulimaanisha elimu ya dini ya kiislamu) pekee, shambulio dhidi ya uislamu na waislamu.

Kwamba, dini ya kiislamu inasababisha uoga? Inasababisha kushindwa kujenga hoja? Inasababisha kushindwa kuuona ukweli?
 
Ni maoni yako. Ya kwangu: Ungefuatilia kwanza hiyo elimu uliyoiita ya sekula hana? Hapa duniani hakuna mtu anajua kila kitu. Huwa tunasema" juu ya kila mwenye elimu kuna mwenye elimu juu yake".

Ungetoa maoni bila kashfa na dharau ingekuwa busara zaidi. Sielewi wewe ni profesa wa nini, au ndio akina wale wanoitwa 'wa jalalani?' Heshima ni kitu cha bure
 
Tatizo chadema hawajui hata formular za kuomba msamaha, unaomba msamaha halafu unaemuomba msamaha unamweleza lakini umenionea sikupaswa kuomba msamaha, ujinga wenu utakuja kuwagharimu humu hata sisi tunamkosoa sana Rais Samia lakini hatuwezi kuhusisha dini yake ni chuki iliyokithiri kuona kua yule Mama hafai kua kiongozi wakati uongozi Kapangiwa na Mwenyezi Mungu
 
Rais Samia ni mtu Muungwana sana na anashaurika vizuri mengi tunayoandika huku anayaona na tunavyomkosoa kwa staha anajifunza, akili za chadema muda mwingine za kipumbavu sana, kazi kutukana hovyo
 
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zubery kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu wakati wote badala ya huruma na misingi ya tatizo ni mbaya sana.Huyu mufti ana roho mbaya sana pamoja na tunajua ndiyo ni kada wa CCM. Anajivunija tu heshima sana, sijui hajui nini aongee mobele ya macho ya umma. Au yawezekana haya mambo ya kimahakama hajui kitu na hata kesi zinazosemwa hazijui na hana uelewa nazo. Hivi hua hawangalii kina Dr Shoo wanaongeaje?

Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tuu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha. Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?

Hii ndiyo shida mnkua na viongozi elimu yao ni Madrasa tu kwenye sekula huku hakuna kitu, yaani yeye yupo kimaslahi tuu hata delegations za nafasi yake hazijui. Mtu unazungumzia kitu hujui msingi wake wala outcome ya utakachosema unaropoka tu.

Kwakweli waislam kwa huyu kiongozi tumepigwa. Hakuna kiongozi hapa na huu ndio ukweli. Ifike mahali uchaguaji viongozi wa nafasi uangalie wenye elimu zote, wenye experience kwenye mambo yote. Siye hawa walimu wa madrassa ambao mtu anapewa nafasi hajui azungumze nini anajikuta anaropoka tu.
Hawa viongozi wa dini huwa siwaelewi kweli mtu anasema akirudia tena, imethibitika wapi ana hatia?

Mbowe inaonekana aliingilia maslahi ya watu ambayo hao viongozi pengine wanayajua.

enewei Muft huwa hakosei aliwaombea msamha wazee wa uamsho haikupita wiki wakatoka.

Ngoja tusubiri kuna watu wantakakuepuka aibu.
 
Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Putin aje awachukue hawa wazee aondoke nao

Unapoongea na mtawala kuna codes zake mbona mnakua kama watoto, kuongea na Rais hua wanatumia hekma na busara sana na ajione ni mtawala nanyi awasikilize pale hauongei na mshikaji wako na kwa taarifa yako askofu shoo na wenzake waliomba hiyo nafasi ili wakamwombee Mbowe msamaha, lakini kwa ujinga wa wafuasi wa chadema mmeanza kulipuka haya Mbowe hana kosa sawa ngoja tusubiri mahakama itaamua nini
 
Back
Top Bottom