Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Hivi kumbe gaidi ni rahisi kusamehewa kiivyo kweli tanzania ina mambo ya ajabu.ko osama bi laden alikuwa gaidi nini kilitokea ivi mnacheza na ugaisi.ninacho jua mbowe siyo gaidi mambo ya katiba mpya ndoo chanzo cha yote.
Mkwani mkuu alichokifanya Osama ndio kinabeba tafsiri ya neno ugaidi? neno ugaidi lina maana yake sidhani hadi ufanye kama alivyofanya Osama ndio uitwe ugaidi.

Sijasema kuwa Mbowe ni gaidi naamini ni mambo ya kisiasa ila hoja yangu ni huo mfano wako wa Osama.
 
Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
Kama ni kero,kwa Nini mlimchagua!?
 
Huo ni msimamo wa mbowe na nimsimamo wa familia kama hujui.
Lakin Mbowe hawezi kutoka kwa gharama ya kuomba msamaha au kuombewa msamaha
kwa kosa ambalo sio lake.
Hao wangeomba haki itendeke.
Jela si kuzuri na familia yake inamuhitaji, sidhani kama kuendelea kukomaa kwenye hii kesi kutapanda mbegu yeyote kwa nchi kama Tanzania.
 
Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
Wewe jamaa Sesten Zakazaka ,umeandika busara kama zimetoka kwa Mfalme Suleiman.
Ubarikiwe sana.
 
Jela si kuzuri na familia yake inamuhitaji, sidhani kama kuendelea kukomaa kwenye hii kesi kutapanda mbegu yeyote kwa nchi kama Tanzania.
Familia yake inamhitaji ndio lakini sio kwa gharama ya kuomba msamaha kwa kosa asilotenda.
Huo ndio msimamo wa familia.
 
Familia yake inamhitaji ndio lakini sio kwa gharama ya kuomba msamaha kwa kosa asilotenda.
Huo ndio msimamo wa familia.
Ndio nasema huko kukomaa kwamba hawataki kuomba msamaha ( ili awe huru) kwa sababu hana kosa ni jambo ambalo halipandi mbegu yeyote kwa nchi kama Tanzania, ni yeye au pamoja na familia yake ndio wanaoumia hapo na hakuna wanachokijenga.

Ila kama wenyewe wameona kuomba msamaha ni sawa kukubali kuwa ni kweli alifanya hilo kosa na hivyo ataharibu heshima yake na hilo ni jambo muhimu kwao kuliko chochote basi sawa waendelee kukomaa.
 
Muft alipoomba waachiliwe mashehe wa uamsho ndani ya wiki wakaachiliwa.
Nilipposikia na kwa Mbowe nikajua kapangwa pia wamedharirika.
Yaani haingii akilini,miezi yote hiyo wako ndani!Ila siku Moja kabla ya kuanza kujitetea shekhe anazungumza vile,halafu siku ya kuanza kujitetea wanafuta kesi!
Mbowe afungue kesi kudai fidia!
 
Yaani haingii akilini,miezi yote hiyo wako ndani!Ila siku Moja kabla ya kuanza kujitetea shekhe anazungumza vile,halafu siku ya kuanza kujitetea wanafuta kesi!
Mbowe afungue kesi kudai fidia!
Mbowe aendelee kukiwasha tu mtaani itaeleweka.
 
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu wakati wote badala ya huruma na misingi ya tatizo ni mbaya sana. Huyu mufti ana roho mbaya sana pamoja na tunajua ndiyo ni kada wa CCM. Anajivunija tu heshima sana, sijui hajui nini aongee mobele ya macho ya umma. Au yawezekana haya mambo ya kimahakama hajui kitu na hata kesi zinazosemwa hazijui na hana uelewa nazo. Hivi hua hawangalii kina Dr Shoo wanaongeaje?

Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?

Yaani yeye yupo kimaslahi tu hata delegations za nafasi yake hazijui. Mtu unazungumzia kitu hujui msingi wake wala outcome ya utakachosema unaropoka tu.

Kwakweli Waislam kwa huyu kiongozi tumepigwa. Hakuna kiongozi hapa na huu ndio ukweli. Ifike mahali uchaguaji viongozi wa nafasi uangalie wenye elimu zote, wenye experience kwenye mambo yote.

Siye hawa walimu wa madrassa ambao mtu anapewa nafasi hajui azungumze nini anajikuta anaropoka tu.
Msamaha aliomuombea umezaa matunda na leo amesamehewa yule bwana! Mufti oyeeeee!!!
 
Nna uhakika, umewashuka, shuuuu. Mmeona kauli ya Mufti ilivyo na nguvu?

Mmnh!

Wengine wanafikiri huenda ni mingo tu ilitegwa kiana ya mtindo wa propaganda!

Tuzidi kuomba amani, Umoja, haki, Umoja na mshikamano wa Kuanzia mtu mmoja mmoja na Taifa Kwa ujumla.
 
Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tuu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?[emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1533]
Plan planned man
 
Nna uhakika, umewashuka, shuuuu. Mmeona kauli ya Mufti ilivyo na nguvu?
Umemaliza mjadala.Mufti Mungu ambariki,amemuombea msamaha,mtu asiye wa imani yake.Huu ndio uislamu,hata Mtume Muhammad(S.A.W),wengi waliompiga mawe,kumtukana ,kumdhihaki,wakati yupo Maka,na akakimbia Madina,siku aliyorudi akiwa na nguvu,na wafuasi wengi na jeshi lenye nguvu,wale waliomfanyia Ubaya,ambao sio waislamu,walifikiria,atawaadhibu,lakini aliwaambia endeleni na shughuli zenu,sikuja kuwaadhibu.Hongera Rais,mama yetu,Kipenzi cha watanzania,Mungu akubariki,kwa kukubali,ombi la viongozi wa dini,akiwemo Mufti Sheikh,Doktour Wa Tanzania.
 
Msamaha aliomuombea umezaa matunda na leo amesamehewa yule bwana! Mufti oyeeeee!!!
Yule Mufti Sheikh Doktour,ni msomi wa Hali ya juu.Mtu aliyeweza kuwaunganisha waislamu wa Tanzania,na kuwa kitu kimoja,katika masuala ya uislamu,ni.msomi wa hali ya juu.
 
Umejitahidi na umefanya kila njia ku "provoke" Waislam, wala huna haja ya kuuficha ujinga wako, upo wazi kabisa, kote kote, kuanzia Sunday School mpaka Kinywani mwako. Kuwa mkweli wa nafsi yako tu, tatizo lako sio Mufti, tatizo lako ni Samia Suluhu. Unaona donge mama wa Kiislaam leo hii kuwa ndio kashika turufu zote. Hilo la Mufti lilihusu nini "madrasa"? Fumbo mfumbie mjinga mwenzio.

Kumbuka tu, elimu ya madrasa haifundishi ukipigwa la kulia ugeuze na la kushoto. Elimu ya madrasa inafundisha kisasi ni haki. Umekuwapweza kujipapalia mkaa mwenyewe. Wewe kamaunatafita Waislam, walahatupo mbali, wala usipate shida za sunday school. Wanafunzi wa madrasa tupo hapa, kinaga ubaga.

Wewe huna elimu ya kushindana hata na mtoto wa mwaka wa kwanza wa madrasa. Unafundishwa nini Sunday School zaidi ya kila siku tunasikia mkilawitiana tu na mapadri na maaskofu, ndio maana hata hapa umeandika ushoga wako.

Ungejua maana ya neno "madrasa" usingeandika utumbo. Madrasa, Kiswahili chake ni madarasa.

Elimu iliyotoka huko ndio mpaka wewe leo unazo "alphabet" ambalo ni Alif Be Te.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - courtesy - JF Founder.

Punguani wahed.
Hivi kumbe bado upo na vitusi vyako vya reja reja?
 
Nakubaliana nawe kwa sehemu kubwa. Ila kusema, "....hii ndio shida ya kuwa na viongozi wenye Elimu ya madrasa (hapa nadhani ulimaanisha elimu ya dini ya kiislamu) pekee, shambulio dhidi ya uislamu na waislamu.

Kwamba, dini ya kiislamu inasababisha uoga? Inasababisha kushindwa kujenga hoja? Inasababisha kushindwa kuuona ukweli?
Elimu ndugu yangu... elimu ya madrassa haitoshi
 
Umejitahidi na umefanya kila njia ku "provoke" Waislam, wala huna haja ya kuuficha ujinga wako, upo wazi kabisa, kote kote, kuanzia Sunday School mpaka Kinywani mwako. Kuwa mkweli wa nafsi yako tu, tatizo lako sio Mufti, tatizo lako ni Samia Suluhu. Unaona donge mama wa Kiislaam leo hii kuwa ndio kashika turufu zote. Hilo la Mufti lilihusu nini "madrasa"? Fumbo mfumbie mjinga mwenzio.

Kumbuka tu, elimu ya madrasa haifundishi ukipigwa la kulia ugeuze na la kushoto. Elimu ya madrasa inafundisha kisasi ni haki. Umekuwapweza kujipapalia mkaa mwenyewe. Wewe kamaunatafita Waislam, walahatupo mbali, wala usipate shida za sunday school. Wanafunzi wa madrasa tupo hapa, kinaga ubaga.

Wewe huna elimu ya kushindana hata na mtoto wa mwaka wa kwanza wa madrasa. Unafundishwa nini Sunday School zaidi ya kila siku tunasikia mkilawitiana tu na mapadri na maaskofu, ndio maana hata hapa umeandika ushoga wako.

Ungejua maana ya neno "madrasa" usingeandika utumbo. Madrasa, Kiswahili chake ni madarasa.

Elimu iliyotoka huko ndio mpaka wewe leo unazo "alphabet" ambalo ni Alif Be Te.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - courtesy - JF Founder.

Punguani wahed.
Eti huna elimu ya kushindana na wa mwaka wa kwanza wa madrasa 😄😄 kweli akili yako ni ya kimadrassa
 
Back
Top Bottom